Mwalimu mzuri wa hesabu(mathematics)

JOH CARLOS

JF-Expert Member
May 13, 2016
576
267
Ni kuanzia ngazi ya kidato cha kwanza mpaka kidato cha sita.
Sina center ya kufundishia ila naweza kukupa huduma yangu popote utakapo.
Nina mbinu nyingi za kumsaidia mtoto wako mdogo wako amana wewe uwe vizuri katika somo hili.
Ukiitaji huduma yangu ni pm
 
Habari naitwa Elifuraha Lyimo nipo Dar-es-Salaam nimesomea ualimu ngazi ya cheti daraja la 3A Natafuta kazi kwa masomo ya Maths,History,Civic and Moral,S.S.T,Kiswahili kwa shule za English Medium nna experience ya miaka 4 ahsante.Ma wasiliano yangu ni 0714954609
 
Your number is not reachable
 
Back
Top Bottom