Mwalimu mstaafu apata kichaa baada ya kudhulumiwa milioni 20

Mie ningekua nawakopa na hiyo riba sitoi mpaka unuonyeshe kibali chako cha hiyo biashara ya kukopesha watu ukinilazimisha nikulipa nakupeleka polisi tu na ndio itakua mwisho wa hiyo biashara yako ya utapeli..
Mbona sikutanagi na hao mafala wa utapeli
Wewe huna akili haya nakuachia halaf natumia plan b tutaona Kama hutaleta mwenyewe hivi unadhani unaweza kuchukua pesa ya Mtu halaf ukatalie nakufata Na panga mchana kweupe nakutenganisha kichwa Na kiwili wili shida zako mwenyewe halaf uje kunisumbua
 
Laki moja kwa laki na ishirini au wengine laki na 30.
Hyo pesa imekaa kwa muda gani tumia akili umpe Mtu 10m akae nayo mwaka mzima halaf akupe 12m wewe TRA unalipa 1.5m kwa mwaka halaf bado Banda la ofisi umepanga Na wafanyakazi unawalipa ,mwanasheria, Na muhasibu Kama mfanyabiashara utakuwa unafanya biashara au unacheza mbona Kuna biashara nyingi tu ya kufanya syo Hyo tu Na yenye faida kedekede Ndo maana watu wanaua
 
Unajua amekaa na hela ya watu kwa muda gani?

Unaijua interest rate ya mkataba wao?
Huyu kazidi yaani milioni 10 kwa urudishe milioni 20?? Mtaani normally ni kwamba laki moja unarudisha laki na elfu 20, hivyo milioni moja unarudisha laki mbili juu. Kwa maana hiyo milioni 10 ilitakiwa arudishe na milioni 2 juu na siyo pasu kwa pasu...
 
Hyo pesa imekaa kwa muda gani tumia akili umpe Mtu 10m akae nayo mwaka mzima halaf akupe 12m wewe TRA unalipa 1.5m kwa mwaka halaf bado Banda la ofisi umepanga Na wafanyakazi unawalipa ,mwanasheria, Na muhasibu Kama mfanyabiashara utakuwa unafanya biashara au unacheza mbona Kuna biashara nyingi tu ya kufanya syo Hyo tu Na yenye faida kedekede Ndo maana watu wanaua
Tz tuko kama mazuzu, yani unapoenda kukopa unanyenyekea weeee kwenye kulipa unajitia wazimu. Eti amechanganyikiwa.
 
Mkuu hawa jamaa wanachofanya kwenye mkataba wao wa kukopesha ni kuandika kiasi unachotakiwa kumrejeshea baada ya kujumlsha na riba yake, mfano umekopa mil 15 na riba yake ni mil 10 kwa huo muda ulotaka wewe, kwenye mkataba unaandikwa umeenda kukopa Tsh mil 25 kwahiyo kwa kutumia sheria tu ni ngumu kumtia hatiani ila kwa nguvu unamtia jambajamba mpaka anacheua
Swali ni.

kwanini ukope kama terms za mkataba hukubaliani nazo?
 
Shida sio hiyo
Mimi naona mkopeshaji hana makosa,shida au tatizo lipo kwa wakopaji wenyewe. Huwa hawaangalii changamoto za mikopo wanayoichukua na makubaliano wanayoyaweka. Akili zinawarudia wakati wa kulipa tu. Mtu anaacha mpaka kadi ya benki ili amwaminishe anaempa mkopo.
Shida sio hiyo mkuu.

mtu anaenda kukopa akijua kabisa atalipa within 3 months kisa tu NSSF wamemwambia aende mwezi ujao.

mwaka unapita, miwili. NSSF anazungushwa. Hivi mtu amekukopesha 10m miaka miwili unataka umrudishie 1.3m?
 
hizi biashara nyingine risk sana,yaani imekaa kama kubeti.

unafanya biashara ambayo hata mwenyekiti wa kijiji akiamua akujazie nzi unatemeshwa pesa.

sasa 10 alitoa,akaja kukwangua 20 nazo zimebeba kapewa mzee.

hii kwa sisi wa kubeti tunaita the first team to score 2nd half must loose the game.
 
Back
Top Bottom