Mwalimu Mkuu anapomtusi Rais kupitia gazeti la Jamhuri, makala yake ya tarehe 25 Feb

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,010
8,355
Ninaomba kwanza niseme wazi sina nia ya kumchongea Mzee wangu Pascally Mayega kwa Rais wetu mpendwa, wala sina nia ya kuligombanisha gazeti pendwa la Jamhuri na Rais wetu ambaye siku za nyuma aliwai kulisfia Gazeti ili.

ila kupitia gazeti la Jamhuri la tarehe 25,mwezi huu ukurasa wa kumi na tano miwandishi niliyemtaja hapo juu aliandika makala yenye kichwa cha habar NDUGU RAIS,UPANGA UNA MAKALI KUWILI

kupitia makala hiyo aliandika hoja nzito na nzuri uitimishwaji wa makala hiyo haukuwa mzuri na haukumtendea haki Raisi wa Tanzania kwani uliambatana na TUSI zito ambalo limenifanya niandike jambo ili ninanukuuuu tusi ilo

"Hatumshangai Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwamba pamoja na kwamba ndiye Raisi mwenye umri mdogo zaidi bado anaonekana ndiye Rais anayeongoza kwa busara zaidi kuliko hata wanao onekana kumzidi umri.Hii yote si kwamba Uhuru hana ushamba urais wala hana ushamba wa Ikulu. Amezaliwa ikulu amekulia Ikulu.

Amekuwa akiyaona madaraka makubwa ya urais aliyokuwa nayo baba yake Rais Jomo Kenyatta shida ni kwetu sisi hatuna historia ya kukulia nyumbani kwa mwenyekiti. Kwetu mpaka tunaingia Ikulu ndiyo tunapata anwani. Ukiingia Ikulu lazima utakuwa mshamba. Wengi huzuzuka baada ya kutambua kuwa wamebbeba mamlaka makubwa ambayo mwanzo hawakuyafahamu"
mwisho wa kunukuuu tusi zito, sina nia au lengo la kumchochea moto ili mzee wetu awekwe korokoloni ila nina nia ya kutaka kuheshimika kwa Uraisi wa Rais wetu hata kama ametokea matopeni tuheshimu Utaasisi wa Urais huo.

Nitoe rai kwa mwariri wa jamhuri ni mhm kuhariri makala za namna hii kwani kwani sisi vijana tunaitaji kujifunza mambo mengi kutoka kwa wazee hawa ila kwa matusi haya tunaomba wabakie nayo vifuani mwao na wafe navyo ila wasivitoe.
kwa hatua zitakazochukuliwa kwa huyu mzee kutoka serikalini baada ya Bandiko ili mimi kulifikisha hapa nipo tayari kubeba lawama. kwa kuamsha walio lala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
“Quit sinning, you can’t live a life of sin and yet expect to walk in Gods power, it’s not going to happen, if you still live a life of sin you are missing a very basic thing..... just accept Jesus and let him take control, you will be victorious”
 
Mifano mingi tu, Nyerere ,Mandela wamekulia familia ya watawala(machifu). Karume kwa busara nyingi alishirikiana na Maalim na kuleta mwafaka Zanzibar. Zanzibars muafaka pre dates Uhuru-Raila handshake and BBI.
 
Mjinga mkubwa wewe,yeye Rais hajaiona hiyo makala,au wewe ndiyo msemaji wake,au unataka akuone kama wewe ni mtetezi wake,kama maisha ni magumu kwako nenda kafanye vibalua,kwa taalifa yako huyo mwl.Mkuu wa watu mzee P.Mayega ameanza kuandika kwenye Magazeti mbalimbali kabla hata hujazaliwa na hajawahi kuutwa hata na balozi wa nyumba kumi kuhoziwa achiliambali polisi,wewe unayajua mageti yanaitwa,Mfanyakazi? Au Motomoto? Kenge mkubwa wee na aliyekutuma naye ni kenge, ndiyo tatizo la vitoto vinavyo kaa kwa shemeji.
 
Ninaomba kwanza ninanukuuuu tusi ilo
si kwamba Uhuru hana ushamba urais wala hana ushamba wa Ikulu. Amezaliwa ikulu amekulia Ikulu.
shida ni kwetu sisi hatuna historia ya kukulia nyumbani kwa mwenyekiti. Kwetu mpaka tunaingia Ikulu ndiyo tunapata anwani. Ukiingia Ikulu lazima utakuwa mshamba. Wengi huzuzuka baada ya kutambua kuwa wamebbeba mamlaka makubwa ambayo mwanzo hawakuyafahamu"
Tangu lini neno ushamba ni tusi?.
p
 
Ninaomba kwanza niseme wazi sina nia ya kumchongea Mzee wangu Pascally Mayega kwa Rais wetu mpendwa, wala sina nia ya kuligombanisha gazeti pendwa la Jamhuri na Rais wetu ambaye siku za nyuma aliwai kulisfia Gazeti ili.

ila kupitia gazeti la Jamhuri la tarehe 25,mwezi huu ukurasa wa kumi na tano miwandishi niliyemtaja hapo juu aliandika makala yenye kichwa cha habar NDUGU RAIS,UPANGA UNA MAKALI KUWILI

kupitia makala hiyo aliandika hoja nzito na nzuri uitimishwaji wa makala hiyo haukuwa mzuri na haukumtendea haki Raisi wa Tanzania kwani uliambatana na TUSI zito ambalo limenifanya niandike jambo ili ninanukuuuu tusi ilo

"Hatumshangai Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwamba pamoja na kwamba ndiye Raisi mwenye umri mdogo zaidi bado anaonekana ndiye Rais anayeongoza kwa busara zaidi kuliko hata wanao onekana kumzidi umri.Hii yote si kwamba Uhuru hana ushamba urais wala hana ushamba wa Ikulu. Amezaliwa ikulu amekulia Ikulu.

Amekuwa akiyaona madaraka makubwa ya urais aliyokuwa nayo baba yake Rais Jomo Kenyatta shida ni kwetu sisi hatuna historia ya kukulia nyumbani kwa mwenyekiti. Kwetu mpaka tunaingia Ikulu ndiyo tunapata anwani. Ukiingia Ikulu lazima utakuwa mshamba. Wengi huzuzuka baada ya kutambua kuwa wamebbeba mamlaka makubwa ambayo mwanzo hawakuyafahamu"
mwisho wa kunukuuu tusi zito, sina nia au lengo la kumchochea moto ili mzee wetu awekwe korokoloni ila nina nia ya kutaka kuheshimika kwa Uraisi wa Rais wetu hata kama ametokea matopeni tuheshimu Utaasisi wa Urais huo.

Nitoe rai kwa mwariri wa jamhuri ni mhm kuhariri makala za namna hii kwani kwani sisi vijana tunaitaji kujifunza mambo mengi kutoka kwa wazee hawa ila kwa matusi haya tunaomba wabakie nayo vifuani mwao na wafe navyo ila wasivitoe.
kwa hatua zitakazochukuliwa kwa huyu mzee kutoka serikalini baada ya Bandiko ili mimi kulifikisha hapa nipo tayari kubeba lawama. kwa kuamsha walio lala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na wewe ni MPUMBAVU eehh.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom