Mwalimu mchague Mwalimu Fidelis Kisukilo kuwa Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania

fisi 2

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
3,273
4,626
Mwalimu wekeza kura yako kwa kumpigia huyu mgombea kama Katibu Msaidizi- Ana weledi, mawazo mapya, mfuatiliaji, anajali na mchapakazi hasa. Mkombozi wa Walimu.

ATTACH=f
0fae1ea0-e0b8-4eca-b848-07e9b7b18b40.jpg
 
Mwalimu wekeza kura yako kwa kumpigia huyu mgombea kama Katibu Msaidizi- Ana weledi, mawazo mapya, mfuatiliaji, anajali na mchapakazi hasa. Mkombozi wa Walimu.

Hiki chama kazi yake kubwa ni kula pesa za walimu hakina msaada wowote kwao,zaidi kimekua kinachukua pesa za walimu kinguvu heri kifutwe kibaki kua vuvuzela la ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu wekeza kura yako kwa kumpigia huyu mgombea kama Katibu Msaidizi- Ana weledi, mawazo mapya, mfuatiliaji, anajali na mchapakazi hasa. Mkombozi wa Walimu.

Umejiandaje kwenda kula au kwenda kuiba fedha za michango ya cwt ? Taja faida tano za cwt kwa walimu . Eleza walimu Kwanini cwt isifutwe? Je Nini faida ya michango ya cwt kwa wanachama wake? Ile bank ya walimu imewezaje kuwasaidia walimu ambao ni wanachama wa bank? Miaka mingi hatujaona mapato na matumizi ya jengo la walimu unayafahamu?
 
Back
Top Bottom