Mwalimu kidnaping his pupil. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu kidnaping his pupil.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DULLAH B., Aug 15, 2011.

 1. DULLAH B.

  DULLAH B. JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wana Jf habari zenyu.
  Kuna mwl mmoja wa international school moja Moshi alimteka mwanafunzi wake ili alipwe pesa. Ilitawala sana media mwanzoni mwa mwezi huu. Je huyo mwl alikamatwa?
  Mtoto alipatikana? Na kama mtoto alipatikana alikua hai kwani huyo mwl alitishia kumua endapo asingelipwa pesa. Naomba mnijuze wana jf.
  Nawasilisha.
   
 2. Kijuche

  Kijuche JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Watapita kukujuza wanayoijua hiyo issue usihofu.
   
 3. l

  lumimwandelile Senior Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mtoto alipatikana uganda baada ya mzazi wake kulipa zaidi ya M3. pia mwanamke mmoja mkazi wa moshi anashikiliwa na polisi kwa akaunt yake kutumiwa na tekaji hilo kupitishia pesa. inasemekana mwanamke huyo ni mpenzi wa tekaji hilo. wenye habari zaidi tujuzeni kesi inavyoendelea
   
Loading...