Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa uhai wake aliomba msamaha kwa kosa la kuwafanya watanzania kuwa waoga dhidi ya Serikali

DENG XIAOPING

JF-Expert Member
Mar 6, 2022
2,398
2,593
- Wakati wa uhai wake Baba wa Taifa Mwl.Julius .k. Nyerere alikiri kosa lake la kuiifanya/ kuijenga Tanzania[WATANZANIA] ya waoga isiyoweza hata kuipinga serikali yake pale inapo kosea/inapo kwenda ndivo sivyo.

- Video fupi ikimwonesha Mwalimu akiomba huo msamaha

hayati mbwa wa chato aliserereka na huo uoga wa wadanganyika na kama isingekuwa maukimwi yake angeiongoza hii nchi kwenda Burundi mpaka 2070
Tanzania tuna gene ya uoga ndani yetu na hii gene ilipandikizwa na baba wa taifa mwenyewe moja kupitia jinsi Uhuru tulivyoupata kwa njia ya makaratasi pili kupitia kauli zake baba wa taifa kuaminisha kuwa watanzania kuidai haki yao kwa nguvu kutasababisha Vita na hii ndio viongozi wa Sasa wanaitumia Kama advantage kuionea Tanzania vile watakavyo huku wakiimiza amani ilituendelee kuwa waoga kusababisha vita kuliko kuhimiza haki
 
Huyu mzee ndio alipandikiza nidhamu ya woga na kinafiki hapa nchini. Alikuwa anafurahia kutokukosolewa, baada ya kutoka madarakani ndio akajifanya kujuta. Hakuwa na lolote.
Faida ya Nyerere tunaijua sisi

Mtu anafikia hatua ya kunyoa ndevu nyeupe hadi sehemu za siri hajawahi kusikia sauti ya Silaha zaid ya siku ya mizinga ya jeshi kwny sherehe

unakaa na watu miaka kadhaa hujui wala huna interest ya kujua dini wala kabila lao

Faida ya Nyerere huwezi kuijua kama Wewe ni mtu unaeamini katika njia za mkato mkato na kutumika na mabeberu kupata riziki yako
 
Ndio na itakuwa ngumu kuuondoa uoga huo tukitegemea viongozi kuuondoa uoga huo bali wananchi tunajukumu la kuuondoa uoga huo
#TUNAHITAJI KUPATA UHURU MWINGINE KWA MARA YA PILI NA HUU UHURU UNAPASWA TUUTAFUTE KWA JASHO NA DAMU ILI UOGA UONDOKE NCHINI
Hali hiyo bado ipo mpaka sasa
Nalog off Z
 
Faida ya Nyerere tunaijua sisi

Mtu anafikia hatua ya kunyoa ndevu nyeupe hadi sehemu za siri hajawahi kusikia sauti ya Silaha zaid ya siku ya mizinga ya jeshi kwny sherehe

unakaa na watu miaka kadhaa hujui wala huna interest ya kujua dini wala kabila lao

Faida ya Nyerere huwezi kuijua kama Wewe ni mtu unaeamini katika njia za mkato mkato na kutumika na mabeberu kupata riziki yako
Kama Mwalimu alikubali makosa yake aliyofanya na kuomba msamaha wewe ni Nani kupinga hilo? Mwalimu alikuwa binadamu Kama wewe mwenye usahihi na mapungufu pia
 
Mwenyezimungu Aliibariki Tanzania kwa vitu vingi na mojawapo ni uwepo wa Julius Nyerere

ilitakiwa vyuo vitoe PhD ya maisha ya Nyerere na falsafa zake

nikikumbuka alivyoisuka Udsm enzi zetu pale Nkurumah na sasa hivi ilivyo nachooka
Mwalimu ni role model wangu kwenye uongozi hapa duniani he was best of the best to me
 
Upo sahihi kabisa kwa mfano wakati wakudai Uhuru kiongozi wa mapambano angekuwa mdini hii Tanzania ingekuwa na udini Sana au angekuwa mkabila Tanzania ingekuwa ya kikabila sana
#TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KUTUPATIA MWALIMU

Back
Top Bottom