Mwalimu huyu atakujibu mambo safi, Ccm daima!

Kaguta

JF-Expert Member
Jan 31, 2013
414
504
10308189_799824290035479_5098431541435772172_n.jpg

Huyu mwalimu ni kati ya wale wanaoidai serikali ya Ccm bilioni 61 alifumwa hivi karibuni akitoka darasani kurejea nyumbani.

Picha kwa hisani ya EATV.
 
Tambua kwamba si kila mwalimu ni mfuasi wa CCM.Kama zilivyo kada nyingine walimu pia wako wafuasi wa CHADEMA,CUF,NCCR-Mageuzi,CCM nk.Labda kinachowachanganya watu ni kwa sababu walimu ndio wanaotumika kusimamia uchaguzi.Jaribu kufanya utafiti Mdogo tu utagundua walimu wana msimamo gani juu ya CCM.
 
10308189_799824290035479_5098431541435772172_n.jpg

Huyu mwalimu ni kati ya wale wanaoidai serikali ya Ccm bilioni 61 alifumwa hivi karibuni akitoka darasani kurejea nyumbani.

Picha kwa hisani ya EATV.

Umenchekesha, kwa hiyo inamaana anawatuma watoto hivyo vijiti akawaambia ni fimbo jioni akiondoka kabeba kuni zake? hiyo powa kabisa.
 
10308189_799824290035479_5098431541435772172_n.jpg

Huyu mwalimu ni kati ya wale wanaoidai serikali ya Ccm bilioni 61 alifumwa hivi karibuni akitoka darasani kurejea nyumbani.

Picha kwa hisani ya EATV.

hahahaaa!! fimbo zote hizo! wamekiona cha mtema kuni
 
Back
Top Bottom