Mwalimu Commercial Bank cautions on fake online job advertisements

Hawa jamaa wanaojiita quality service ni matapeli sijui kwanini polisi hawafanyi kazi!kumbuka kuna kipindi hvyo hvyo walitoa tangazo kama hili kuhusu mwanza community bank watu wakapiga ampitude test mwisho wa siku wakaleta utapeli wao wa kitoto tuma hela kwa mpesa nikusaidie kwny kumark test yako ni matapeli wakutupwa!!
Hawa jamaa itakuwa kuna watu waliwakamata kipindi ile ndio maana wamerudi tena
 
Hawa jamaa wa qulity service inaonekana wamezoea utapeli huu wanaoufanya.Nakumbuka Ata mwanza Community bank walifanya hivi hivi mwisho wa siku ikawa hakuna kilichoendelea zaid ya baadhi ya watu kutapeliwa.Kiukwel wasimamizi wa utapeli huu wamelala au wanakula nao haiwezekani watu wakafanya utapeli wazi wazi hivi wasiwajibishwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom