Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,373
- 54,755
Tarime sijui wanatumia bangi gani.
Mkuu sorryHalafu wanaharakati uchwara wanapinga adhabu ya kifo,ningelikuwa raisi ningesaini bila kupepesa jicho.
Mnauaje mwalimu kijinga hivyo,wanyongwe tu iwe fundisho kwa wajinga wengine kama wao.
Asante kwa ufafanuziNyamwaga nakataa kwa mwaka jana labda ulikutana na ibhinyamorro vinajifunza ubabe
Tohara huwa inaenda kwa zamu (koo/milango)
NdioMkuu sorry
Mzee wako amewahi kuwa muendesha farasi?
Dahhhh...Mungu mkubwa mwaka Jana maeneo ya nyamwaga nilitktana nao vijana wa sampuli hiyo waliniomba pesa nikawapatia buku3 kumbe ilikuwa salama yangu nisingekuwa na hio pesa leo kumbe ingekuwa habari nyingine.
Burundi..CongoHivi hao watu wa Tarime na Mkoa wa Mara kwa ujumla wamerithi wapi ukatili wa kuuana! Naona kuua kwao ni jambo la kawaida sana.
Nadhani elimu ya namna ya kukomesha hayo mauaji inahitajika sana bila shaka.
Hata mimi nimewaza mkuu ukimiliki mguu wa kuku ukapata chance ya kupunguza wajinga kama hawa unawamwaga tu ubongoWangeku remotisha mkuu
Ila kumiliki bunduki kuna umuhimu wake
Kwahiyo vijana wa Tarime wakiwa wanafanyiwa tohara ndo wanakuwa waasi?Nyamwaga nakataa kwa mwaka jana labda ulikutana na ibhinyamorro vinajifunza ubabe
Tohara huwa inaenda kwa zamu (koo/milango)
Wanakuwa wapumbavu yaani kuua kwao ni kawaida tu.Kwahiyo vijana wa Tarime wakiwa wanafanyiwa tohara ndo wanakuwa waasi?
Hapa umeongopa Mkuu, tohara haifanyiki kila mwaka, ulikutana nao mwaka jana wakiwa wanaenda wapi ? Maana mwaka jana hakukuwa na tohara.Mungu mkubwa mwaka Jana maeneo ya nyamwaga nilitktana nao vijana wa sampuli hiyo waliniomba pesa nikawapatia buku3 kumbe ilikuwa salama yangu nisingekuwa na hio pesa leo kumbe ingekuwa habari nyingine.
Sio kweli, nathani kuna tatizo mwaka huu. Haijawahi kutokea katika historia ya tohara, huenda Wazee wanaowandaa vijana kisaikolojia kwa ajili ya tohara na kuingia kwenyu umri wa utu uzima, hawajafanya kazi yao. Aidha, kuhusu huyo Mwalimu, inategemeana aliwaambia nini hao vijana, labda ni mwalimu wao na aliwauliza kwa nini hawajaenda shule siku hiyo. Maana vijana huanza maandalizi ya tohara wakati shule hazijafungwa, hivyo wakati mwingine wakikutana na walimu huwa wanawahoji kwa nini hawaendi shule.Wanakuwa wapumbavu yaani kuua kwao ni kawaida tu.