Mwalimu atuhumiwa kulawati watoto kwa miaka 20 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu atuhumiwa kulawati watoto kwa miaka 20

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ritz, Aug 15, 2011.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mwalimu anayetuhumiwa kulawiti wanafunzi wa kiume katika shule ya msingi Kwamaksau, katika kijiji cha Mengeni chini, Wilaya Rombo alianza unyama huo miaka 20 iliyopita, imeelezwa.
  Uchunguzi wa MWANANCHI umebaini kuwa mwalimu hiyu. (jina limeifadhiwa) alianza tabia hiyo Oktoba 31 mwaka 1991 baada ya kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa darasa la tatu ambaye wakati huo alikuwa na umri wa miaka 13.
  Katika kipindi hicho cha miaka 20, mwalimu huyo anadaiwa kuwalawiti wanafunzi 10 wenye umri wa kati ya miaka 12 na 15 katika shule nne tofauti alizowahi kufundisha.
  Habari zilisema mwanafunzi mmoja aliyefanyiwa ufedhuli huo mwaka 1997, aliamua kujiua kwa kunywa sumu na kwamba hatua hiyo ilikuja baada ya kubaini kuwa wenzake waligundua kuhusu kutendewa kitendo hicho.
  SOURCE: MWANANCHI AGOSTI 15 2011
   
 2. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mhh!! mhh! mhh!
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  sijui kwa nini nimeisoma hii post kwani inauma sana

  Hapa pana imani ya kishirikana si bure
   
 4. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  He! mangi kajifunzia wapi ufedhuli huu??
   
 5. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  laana kum
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Dawa ya mtu kama huyu kupiga risasi za kichwa kama kumi
   
 7. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Siku hizi wachaga wanakuja juu! Kwanza yule Padre alilawiti mtoto na kumnyoga uume mpaka kutoa damu........
  Pili huyu mwalimu, Moshi kunani?
   
 8. RR

  RR JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160

  Yap....risasi za kichwa.....ila kichwa cha mitaa ya kati.....nyambafu...
  Ili abaki hai.....
   
 9. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mbaya sana. akatwe katwe uume ubaki unamning'inia
   
Loading...