Mwalimu atatambulika lini? Najua wng hamtavutiwa na hii kwakuwa mnadharau walimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu atatambulika lini? Najua wng hamtavutiwa na hii kwakuwa mnadharau walimu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Jul 19, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  jamani kila mwaka bunge wabunge wanaainisha matatizo ya walimu lakini hakuna anafuatilia kutatua alafu wanataka maendeleo bila kujua elimu ndy msingi wa maendeleo,ndg zangu walimu hawa ambao wapo kwny mgomo wa siri kwa kunyimwa haki zao na kudharauliwa na jamii unaumiza jamii ya kutokemeza elimu,hawafundishi kwa dhati muda mwingi darasani wanalalamika kwa wanafunzi wao jinsi wanavyoteseka.sasa ifike wakati bunge litunge sheria ya maslai maalum ya waalimu tuokoe elimu ya tanzania
   
Loading...