MWALIMU ANATAKIWA HARAKA WA DIPLOMA 4 ABE Acconting & QM (mathematics) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MWALIMU ANATAKIWA HARAKA WA DIPLOMA 4 ABE Acconting & QM (mathematics)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Speculator, Apr 20, 2012.

 1. S

  Speculator Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunahitaji mwalimu mwenye uzoefu wa course hizo hapo kwa level ya diploma 4 au certificate kwa intensive training ya mwezi na nusu ili kujiandaa kwa exam june mwaka huu, malipo ni kuongea na ya kuvutia, na bonus itakuwepo kulingana na matokeo ya manafunzi. karibuni sana, any one interested PM or piga simu 022-2180274 masaa ya kazi -Kariakoo - Dar es salaam
   
 2. MKOBA2011

  MKOBA2011 Senior Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wapi mbona hujasema
   
 3. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  poa check on me
   
 4. S

  Speculator Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwalimu hajapatikana, karibuni wote
   
 5. MKOBA2011

  MKOBA2011 Senior Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nitafute kwa number 0755-520976 tuongee tuone kama tunaweza fika makubaliano
   
 6. m

  mikumi Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama unataka nitafute kwa namba hii 0713 007977
   
Loading...