Mwalimu aliuliza swali wanafunzi wa chekechea wakawa wanajibu.

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
266
Mwalimu aliuliza swali wanafunzi wa chekechea wakawa wanajibu.
Mwalimu: Sehemu gani ya mwili mtu akifa inaenda mbinguni?
Mwanafunzi 1: Roho ndio inaenda.
Mwanafunzi 2: Moyo.
Mwanafunzi 3: Miguu.
Mh! Mwalimu alistuka akauliza "enhe kwa nini miguu?"
Mwanafunzi wa 3 akajibu...
"Jana nliona mama kanyoosha miguu juu uku akisema "oh God am coming...
Huku baba kamlalia juu asiende"
 
Ha ha ha ha!
Lol!
Watoto wa siku hizi usilale nao chumba kimoja.

Kama ni chumba kimoja, basi mfanye kama wahindi - mwende nje bustanini/majanini. Mnadhani wahindi konekana wanafanya mapenzi bustanini ni kupenda? La hasha, ni kuzidiwa.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom