Mwalimu akutwa na mwanafunzi chumbani

Haya mambo hayajaanza leo. Kuanzia primary hadi universities mchezo huo upo tu. Kila mtu anavunja sheria kulingana na sehemu aliyopo. Umwambie nini mhadhiri aonaye kijirembo mbele yake? Umwambie nini mwl anayeona kidenti kizuri machoni pake? Hata walimu wa primary nao wale wenye maumbo makubwa huingiriwa. Sisi, wengine tumeshuhudia au kusikia haya mambo kila hatua ya kielimu. Lipi wazo langu? Sheria ifuate mkondo wake, lakini tabia hizi nyakati nyingine ni tabia na hulka za baadhi ya watu.
 
Hahaaa kesi hakuna hapo" Mtoto kesha mtetea mwalimu duuuhh""... mbona anaonyesha kuwa amekubuhu aisee""... hana hata hofu"" halafu mama yake pia inaonyeha kuwa siku nyingi anaujua mchezo mzima jinsi ulivyo " na huwenda ikawa anapewaga bakshishi na mtoto wake ili asimchongee kwa dingi"" Mama namtoto lao moja wallahi
Lihishimiwe " ....

eti mimi nachekesha
 
Kwa kweli haya sio maadili mema hata kidogo...mwalimu ni sawa na mzazi..amepewa dhamana ya kuwasimamia wanafunzi, kuwakanya na kuwafundisha...lakini cha ajabu...mwalimu huyo huyo anakuwa mtu wa kiwaharibu wanafunzi...uchunguzi ufanyike haraka na hatua kali za kisheria zichukuliwe!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bac huyo mzazi kaharibu ushahidi na kesi kaisha shindwa.

1. Alijibeba yeye na mashilawadu kwenda kuvamia mwalimu bila ya kuwa na muongozo kutoka serkal ya mtaa. Yan unaenda msearch mtu kwake bila RB or search warantee or balozi.

2. Mwanafunzi kasema hana mahusiano so kukutwa kwa mwalimu sio kosa kisheria anaweza kuwa alienda kufundishwa au kusalmia.

ELIMU ELIMU ELIMU.
Ni kweli walimu wanawakula wanafunzi wao ila inapokuja kwenye kuwakamata na kuwa na ushahidi wa kutosha ndipo shida ilipo.


Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi wa Mazingira upo wa kutosha,tena hiyo ni rape kabisa.Wewe hujaoa,huna mke na uko na mtoto wa kike under 18 mmejifungia chumbani kwaKo,unataka ushaidi gani zaidi?NGOJA TICHA AJIBEBE,HAPO NI MINIMUM 30 YRS IMPRISONMENT
 
Watu wamesikia jela siku hizi ni kugumu lakini wapi. Wanataka huko huko.
Sasa huyu mwali mtarajiwa tutamsaidiaje ?
Tusisahau kumpelekea sabuni na mafuta ya kujipaka huko gestini ya serikali aliko
 
Back
Top Bottom