Mwalimu wangu Master Herbalist Dr. Sebi akieleza namna ya ugonjwa wa UKIMWI unasababishwa na mucus au “ute”

Mkuu tuainishie tunavyotakiwa kuvila kwa mujibu wadokta wako dr sebi

Sent using Jamii Forums mobile app
MATUNDA YANAYOFAA KULIWA KILA SIKU
MATUNDA YANAYOFAA KULIWA KILA SIKU.jpg


HAYA NI BAADHI YA MATUNDA ALIYO TUSHAURI MWALIMU WANGU RIP DR.SEBI TUPENDE KUYALA KILA SIKU KWA AJILI YA AFYA ZETU.
 
Sasa mkuu vingne apo ungejaribu kutufafanulia kwa kiswahili majina yake

Sent using Jamii Forums mobile app
USILE VYAKULA VINAVYO ANZIA NA HERUFI A,C,D NA E. KULA VYAKULA VYA HERUFI B TU.



VYAKULA TUNAVYO KULA KILA SIKU.jpg



UWE UNAKULA VYAKULA VISIVYO KOBOLEWA KAMA HIVYO HAPO CHINI

VYAKULA VISIVYOKOBOLEWA HUIMARISHA KINGA.jpg


VYAKULA VISIVYOKOBOLEWA HUIMARISHA KINGA MWILINI.
 

Attachments

  • VYAKULA TUNAVYO KULA KILA SIKU.jpg
    VYAKULA TUNAVYO KULA KILA SIKU.jpg
    57.4 KB · Views: 132
Baada ya kufanya hayo yote mwishowe naye akafa.
Ni kuacha sio kutumia kwa kiasi kwani Spinach aka mchicha asili yake ni asidi, Carroti Karoti (carrot is artificial) ni ya kutengenezwa na binadamu na kitu cha kutengenezwa na binadamu asili yake ni asidi hakifai kuliwa. Nyama ya Ng'ombe,mbuzi,kondoo, na hao kuku wa kisasa wote hawafai kuliwa ni asili yake ni asidi na ukitumia ungojee kupatwa na maradhi.

 
RIP Dr.Sebi anasema kuwa Mmea wa Moringa Aka Mlonge haufai kimatibabu kwa sababu Mlonge asili yake ni asidi na asidi ndio chanzo cha maradhi yote.

MziziMkavu
Hivi hakuna namna ya kuiondoa hiyo Acid kwenye mlonge ili tubaki na virutubisho vingine ili tuendelee kuutumia mlonge..?
 
MziziMkavu
Hivi hakuna namna ya kuiondoa hiyo Acid kwenye mlonge ili tubaki na virutubisho vingine ili tuendelee kuutumia mlonge..?
Hakuna Njia ya kuondoa Asidi ndani ya mlonge haufai kutumiwa kama dawa. Usile Karoti,Mchicha, mtindi, maziwa, kuku wa kizungu pamoja na mayai yake, usile nyama ya ng'ombe,nyama ya mbuzi ,nyama ya kondoo,Ugali wa Dona. Na vilivyobakia kula kama kawaida
 
Hakuna Njia ya kuondoa Asidi ndani ya mlonge haufai kutumiwa kama dawa. Usile Karoti,Mchicha, mtindi, maziwa, kuku wa kizungu pamoja na mayai yake, usile nyama ya ng'ombe,nyama ya mbuzi ,nyama ya kondoo,Ugali wa Dona. Na vilivyobakia kula kama kawaida
Aisee..!
Basi watu tunapotoshwa sana Kiongozi..!
Familia yetu iliacha kutumia unga wa sembe muda mrefu sana na kuanza kutumia unga wa dona,hiyo ni baada ya kusikia kuwa unga wa dona ndio mzuri kiafya..!
Nimetafuna sana makaroti baada ya kuambiwa kuwa yanasaidia kutibu macho (me ni myopic)...
Nimetafuna sana michicha..!
Nimekula sana mlonge..!
Lakini kumbe hivyo vyote ni hatari kwa afya ya binadamu..!!!
MziziMkavu unga wa dona una shida gani aisee...
Maana nikiwaelekeza ndugu zangu tuache kuutumia inabidi niwe na maelezo yaliyonyooka..!
 
Aisee..!
Basi watu tunapotoshwa sana Kiongozi..!
Familia yetu iliacha kutumia unga wa sembe muda mrefu sana na kuanza kutumia unga wa dona,hiyo ni baada ya kusikia kuwa unga wa dona ndio mzuri kiafya..!
Nimetafuna sana makaroti baada ya kuambiwa kuwa yanasaidia kutibu macho (me ni myopic)...
Nimetafuna sana michicha..!
Nimekula sana mlonge..!
Lakini kumbe hivyo vyote ni hatari kwa afya ya binadamu..!!!
MziziMkavu unga wa dona una shida gani aisee...
Maana nikiwaelekeza ndugu zangu tuache kuutumia inabidi niwe na maelezo yaliyonyooka..!
Inatkuwa alikosea ni unga wa sembe kama alivyoeleza hapo juu.
 
karoti,mchicha na mlonge ni hatari ki vp mkuu?
Karoti ina asidi na imetengenezwa na binadamu haifai kuliwa. Mchicha una asidi nao, na mlonge una asidi nyingi haufai kuliwa unawezakukudhuru katika mwili wako.Maziwa nFresh na Mtindi unao asidi nyingi haifai kunywa Maziwa ya N'gombe wala nyama yake wala mtindi.

Dr Sebi: Why No Spinach, No Tofu, No Carrot
MCHICHA,TOFU NA KAROTI HAZIFAI KULIWA ZINA ASIDI YENYE MADHARA KWA BINADAMU KIAFYA.





Dr Sebi says that cassava is a poison to keep you dum

MUHOGO HAUFAI KULIWA NA BINADAMU. MUHOGO UNA SUMU YENYE KUDHURU AFYA YA BINADAMU





DR SEBI SPEAKS ON MILK (NO GOOD FOR THE BODY)
Maziwa ya Ng'ombe hayafai kunywa kwani Maziwa ya Ng'ombe yana asidi inayoweza kumduhuru binadamu.



 
Huu uzi hauna utafiti wowote aliofanya kisayansi huyo Dr Sebi RIP. No data no right to speak. Ukisikia wazee wengi walioishi miaka mingi watakuambia wamekula vyakula ambavyo hapa vyote vina acid. TUACHE KUPANIKISHA WATU

MUHOGO MBICHI HUSABABISHA UHANITHI.png



MUHOGO.jpeg


Je unapenda mihogo ? Mie pia napenda sana mihogo, hasa mihogo ya kuchoma, ikiwa na pilipili na kachumbari yenye limao la kutosha. Kuna nini kingine kinaweza kuzidi ladha hii tamu?

Mihogo ni chakula kikuu katika kanda nyingi za nchi za tropiki. Pia, mihogo hustawi vizuri sehemu kame kutokana na kutohitaji maji mengi. Mihogo pia ni chanzo kikubwa cha wanga kwa bei nafuu, hasa kwa nchi za kusini mwa jangwa la sahara. Mihogo hutumika kama chakula – ugali wa muhogo na kutengeneza bidhaa tofauti – chips, mihogo ya kukaanga, kuchemsha n.k.

Kwa muda mrefu tafiti tofauti zinaonyesha madhara ya mihogo kwa maisha ya walaji wake, hasa wale wasiofanya maandalizi mazuri kabla ya kula chakula hiki. Tafiti zinaoyesha kuwa mihogo ina kemikali mbili aina cyanogenic glucosides, zinazoitwa linamarin na lotaustralin. Hizi kemikali pamoja na kimeng’enyo kinachoitwa linamarase, ambacho hupatikana pia kwenye mihogo, huyeyushwa mwilini na kutengeneza kemikali aina ya Cyanide. Cyanide ni sumu ambayo uwepo wake kwa kiasi kidogo mwilini huweza kuleta madhara makubwa ya afya na hata kusababisha kifo
 
'Eliminate the processed foods.the hybrid fruits and vegetables with seeds which has positive and not a negative effect on you mucus membrane anything without a seed is foreign created in laboratory''

ELIMINATE THE PROCESSED FOODS.jpg


IT'S SO HARD TO FORGET SOMEONE WHO GAVE YOU SO MUCH TO REMEMBER. RIP DR.SEBI.


IT'S SO HARD TO FORGET SOMEONE WHO GAVE YOU SO MUCH TO REMEMBER. RIP DR.SEBI..jpg
 
Nmemfatilia na nmeona ameeleza kuhusu spinach na carrot pia nyama nataka jua zaid ni kutumia kwa kias au kuacha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuacha kabisa sio kutumia kidogo kwani karoti haina mbegu imtengenezwa na binadamu sio Mungu na Spinach ina asidi na asidi ndio chanzo cha maradhi yote na nyama ya ngombe nyama pamoja na maziwa yake na nyama ya kuku za kizungu mchele mweupe una sumu na muhogo hivyo vyote vina madhara kwa afya ya binadamu.


DR SEBI - WHY NO RICE

Mchele Mweupe una Sumu




Dr Sebi - Why You Shouldn't Consume Milk And Dairy Products. Maziwa ya ng'ombe hayafai kunywa.

 
Back
Top Bottom