mwalim wa Kifaransa anahitajika

Rwaz

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,957
3,301
nahitaji mwalim wa kunifundisha lugha ya Kifaransa muda wa jion kwa aliyeko Dar es Salaam. awe na programme ya mi kuelewa haraka, kusoma/kuandika na kuongea. Najua Kiingereza vizuri cha kusomea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom