Mwalim nyerere degree ya maendeleo ya jamii wanaanza lini?

Superleta

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
466
538
Nimeona kwenye website yao kwamba upcoming course yao itakua bachelor degree in community development kwa anayejua hii inaanza lini?

Halafu pia wanayo gender and development vipi hiyo course nikiisoma si sawa tu na hiyo ya CD?

Maana nina diploma ya maendeleo ya jamii
 
Back
Top Bottom