Mwalim,muda na pesa anazopata kama mshahara/usanii wa sayansi ya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalim,muda na pesa anazopata kama mshahara/usanii wa sayansi ya Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by haki na usawa, Apr 2, 2012.

 1. h

  haki na usawa JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 476
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mfano mwalimu wa hesabu anapumnzika lini? maswali matatu wanafunzi hamsini na asahihishe mpaka lini?
  Na je akirudi nyumbani afanye nini na kesho anakipindi na je ni sawa na mwalimu wa kiswahili/uraia/geograph/english/history?
  Naomba walimu wa hesabu toeni swali moja na lisahihishwe na wanafunzi kwa kuwapa majibu hakuna haki na usawa katika hili kwani wengine aya kurasa mbili tiki moja je ni sawa? na je walimu wa hesabu kwanini na wao wasitoe tiki moja?
  Na ikiwezekana hata wale wa sayansi nao watoe tiki moja ya pata maana hatutaki wanasayansi kila kitu siasa na hakuna haja ya kuwa na watalaam wa sayansi na je ni wanasiasa wangapi watoto wao wamesoma udaktari/injinia/technologia na mimi naona wanajua yote rahisi kwa hiyo na hii tukiendelea nalo watajua umuhimu wa somo na utafauti wake na pia watajua hesabu ni sayansi na sayansi ni hesabu
   
Loading...