Mwaliko wa wadau kutoa maoni mbele ya kamati ya bunge ya katiba sheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwaliko wa wadau kutoa maoni mbele ya kamati ya bunge ya katiba sheria

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by nngu007, Apr 6, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  MWALIKO WA WADAU KUTOA MAONI MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA KATIBA SHERIA NA UTAWALA BORA KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA MABADILIKO YA KATIBA YA NCHI
  (THE CONSTITUTIONAL REVIEW BILL, 2011)

  Kwa mujibu wa Kanuni ya 114(9) ya kanuni za kudumu za Bunge, kamati ya Bunge ya Katiba, sheria na Utawala Bora inawaalika wananchi na wadau wote kushiriki katika mkutano wa kupokea maoni kuhusu Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya katiba ili kupata maoni na ushauri wao kwa ajili ya kuboresha Muswada huo.
  Mikutano ya kupokea maoni hayo itafanyika tarehe 7, 8 na ikibidi tarehe 9 April, 2011 Mjini Dar es salaam na Dodoma kama jedwali hapa chini linavyoonyesha:

  S/NSIKU MKOA UKUMBI
  MUDA
  7 – 8/April/2011Dar es salaamKarimjeeSaa 3 Asubuhi7 – 8/April/2011DodomaMsekwa
  Kwa taarifa hii, wananchi wote kwa ujumla wanaalikwa kushiriki kwenye mikutano hii kwa ajili ya kutoa maoni yao kama inavyoonekana katika jedwali hapo juu.
  Imetolewa na:
  Ofisi ya Bunge
  Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa
  Dar es Salaam
  5 Aprili 2011
   
Loading...