Mwaliko wa futari kwa watoto yatima toka kwa JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwaliko wa futari kwa watoto yatima toka kwa JK

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kabakabana, Aug 6, 2011.

 1. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kikwete awaalika watoto yatima kutoka vituo mbalimbali katika futari ya leo. Kasema anawajali na anawakumbuka.

  Source: ITV habari saa 2
   
 2. n

  ngwini JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa unaleta hapa kwenye jukwaa la siasa hili iweje?
   
 3. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  umenoa ehh.... hehehe watu bana
   
 4. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Sasa Mwana Siasa namba 1 Tanzania ni nani? Unanshangaza.

  Umekosa cha kusema ili mradi tu uponde.
   
 5. n

  ngwini JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  kama ungejua lengo la mleta maada,ungeelewa nina maana gani!
   
 6. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135

  Mkuu ndio siasa yenyewe. Kwani hapa kuna jukwaa la futari? Maana ni kuwa, hii ni kuwatumia watoto yatima kufanikisha ajenda za kisiasa, kwanini wakumbkwe tu wakati wa huu? kwanini asiwaalike dinner kila siku? au kwanini isianzishe njia endelevu ya kuwasaidia?
   
 7. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kudos JK. Wewe unayemponda ulishawah ita mtoto wa jiran ambaye n yatima ukampa hata pen na daftar 1 la shule? Tafakari kisha chukua hatua.
   
 8. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Hata ikiwa hajawahi kufanya hivyo, haimzuii mwingine tena mwenye mamlaka kufanya hivyo. Kinachogomba ni huu unafik wa kujifanya muungwana na ndiyo maana watoto wa mitaan wanaishia kupewa pipi na anayeitwa "rais muungwana"
   
 9. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  &lt;br /&gt;<br />
  &lt;br /&gt;<br />
  yeye amejifanya muungwana!! Wewe je? Umejaribu? Tafakari kisha chukua hatua.
   
 10. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,743
  Trophy Points: 280
  huu ndo ule wakati wake, nadhani mzee wa mapete alimuusia kipindi kama hiki apeleke mbuzi, mchele mafuta na sabuni kwenye vituo vya watoto wenye kuishi kwenye mazingira magumu, ANGEWASOMESHA
   
 11. u

  ugawafisi Senior Member

  #11
  Aug 7, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi naamini mtu hachaguliwi la kufanya, hivyo mbele ya mungu inahesabika kwamba amefanya ihsani kwa watoto yatima, sasa kuhusu ina tija, imewasaidiaje hilo ni swala jingine. Na pia siku hiyo futari watu wenye vituo vya yatima watapewa channels na misaada mbalimbali kwani huwa wanaalikwa matajiri na hata mabalozi ili kupiga tafu, problem wamiliki wa vituo hivyo wanajinufaisha wenyewe badala ya mayatima.
   
 12. M

  MSEHWA Member

  #12
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi wabongo mbona hatutoi michango hata msomaji akisoma avutiwe kwa hoja? Mf:- mada hiyo nikiijadili ktk pande mbili-
  POSITIVE
  Nampongeza kwa hilo alilofanya rais kwani
  1.Amefanya watoto wajione kua nao ni jamii ndani ya jamii ya watanzania.
  2.Ni changamoto kwa viongozi na wanasiasa nao kuwa na moyo wa huruma na kuwakumbuka watoto yatima.
  3. Kuwaweka watoto kuwa pamoja ktk kufahamiana, kuthaminiana na kupendana.
  NEGATIVELY
  1. Rais aweke utaratibu maalum wa kuwawezesha watoto chini ya wizara husika kwa muda wote si kwa siku moja tu.
  2. Awahamasishe wadau mbalimbali kuchangia na kuandaa mfumo rasm wa maisha ya watoto hao ambao hajauandaa.
  Mwisho, niwaombe wanajamii tuondoe tofauti zeto tutoe hoja za kujenga si zakubomoa.
   
 13. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,743
  Trophy Points: 280
  Kila mwaka pilau tuu? He is not creative at all, angefanya mpango wa kuwasomesha ingekuwa jambo la mbolea, pilau mwisho chooni siku inapita,kuna watu akipeleka mchele sawa lakini wengine km rais unaonaje au ungejiskiaje kama ungeskia kila mwaka anasomesha mtoto mmoja? Pilau pilau pilau pilau,what for? Zawadi nzuri na ya kudumu hata kwa mwanao,wewe unayempa kichwa kwa kipindi hichi cha utandawazi, ni elimu peke yake,pilau apeleke mkoleni kwenye ngoma za wazaramu aghrrrrrr
   
Loading...