Elections 2010 Mwaliko kwa WANAJAMIIFORUM

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Tuanaalika wanJF wate kufurahia ushindi wa JK na CCM kwa ujumla
baada ya kupewa ridhaa na watanzania

Karibuni wote tufurahia ushindi wetu na watanzania wote

Wakaotaka kuja NIPM
 
Ushindi? Umejumlisha kura au? Una wacho kichaa! Ok wakaribishe vichaa wenzio,si great thinkers!
 
Tuanaalika wanJF wate kufurahia ushindi wa JK na CCM kwa ujumla
baada ya kupewa ridhaa na watanzania

Karibuni wote tufurahia ushindi wetu na watanzania wote

Wakaotaka kuja NIPM

Ma-Bwabwa watakuwepo kwenye hiyo "sherehe"? Just asking!
 
Toeni mambo ya kifedhuli humu, ndo nini sasa wakati hata sherehe za kuapishwa zimeisha. We bado unawaza sherehe? Hw fool ar u?
 
Nani kakwambia zimeisha? Bado tunasherekea kama unataka niPM

Mimi ni mmoja wao ambaye ninamuunga Slaa mkono! sintakuja mi nitakuwa counter pale pale pa siku zote...karibuni napata Valuu bariidi na nyama choma...nyie endeleeni msiwe kama Lipumba mnafiki tuu hana lolote...kila la heri....
 
Nitaficha wapi AIBU MIE!!!!!!!!!. Kukaa nikala vitu haramu vya VIBAKA WA KURA . Ipitishie Mbali ghadhabu ya God isije ikatuangukia kwa kushiriki Meza moja na Mafisadi.
 
waalike nec,igp,shimbo na wezi wenzenu mkale haramu zenu mlizoibia wanyonge kwa miaka 50.
pambaf zenu.
 
Tuanaalika wanJF wate kufurahia ushindi wa JK na CCM kwa ujumla
baada ya kupewa ridhaa na watanzania

Karibuni wote tufurahia ushindi wetu na watanzania wote

Wakaotaka kuja NIPM
Hata m'buyu ulianza kama mchicha.................. tartiiiibu tumeshaondoa neno ......KWA KISHINDO............
 
Tuanaalika wanJF wate kufurahia ushindi wa JK na CCM kwa ujumla
baada ya kupewa ridhaa na watanzania

Karibuni wote tufurahia ushindi wetu na watanzania wote

Wakaotaka kuja NIPM
hapo kwenye nyekundu sijakuelewa unamaanisha watu gani, au umepotea njia ,,umemiksi, relax bro!!
 
Sio tu anawashwa na vibaka wa kura bali analiwa kotekote na hao vibaka wa kura, mungu atusamehe tusijeshirika mvinyo haramu na laana mbaya.
 
Mbona mmetukana sana.Hata me sijaridhika na mambo yalivyokwenda But i'm not that much angry embu punguzeni jazba wandugu...huyo kaja kuwachefua makusudi na nyie mnachefuka kweli ...hizo chuki za wazi wazi hazisaidii kitu zaidi ya kuongeza uhasama baina yetu watanzania cha msingi ni kujipanga ili baada ya siku 1822 tutakapopiga kura tena tutoke tunatabasamu kwa ukombozi wa nchi yetu tulioufanya bila jazba wala matusi...
 
Back
Top Bottom