Mwaliko jf

Navoyne

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
874
373
Heshima mbele !

Naomba kuchukua fursa hii kuomba kuungana nanyi wanajamii ili kuelemishana na kuchangia hoja mbalimbali zinazolenga jamii inayonizunguka na Tanzania kwa ujumla.
Natanguliza shukhurani zangu za dhati kwenu wote wenye nia thabiti na ushupavu wa ku 'dare to talk openly'.

Regards
 
Unakaribilshwa na mimi..............pamoja na hayo naomba kujuwa jinsia yako
 
well come.
Ila isijekuwa ulipewa pan na sasa unakuja kivingine.
Utakayo yaona mazuri,yafanyie kazi mabaya mjulishe Invisible au any MODERETOR
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom