Mwali: Mmiliki wa DOWANS ni huyu!

Status
Not open for further replies.
Mwanakijiji,

Ingawa ninaelekea kuwa nimekosa mengi kuhusiana na sakata hili, nimefurahishwa sana na hatua hii uliyofikia ya kuwakaba makoo hao mafisadi. Mungu akuongezee nguvu za kuendelea kuwasaka na kuwakaba makoo wote waliokula pesa zetu hadi wazitapike.
 
Ni ukweli kabisa ule usemi wa "You can fool some people some of the time, and you can fool all the people some of the time, BUT YOU CANNOT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME!"

Ndivyo RA na JK walivyokuwa wakifanya -- maana waliamua kabisa Watanzania wote ni mabwege tu.

Ile habari ya T. Daima Jumapili ilitayarishwa na kina RA kwa usaidizi wa Salva kwa kupitia wahariri wa gaezti hilo -- Kibanda na Mullinda -- ambao daima nasema ni watu wa RA. Mbowe upo? Au sasa tuanze na wewe -- yaani uwe mjadala humu JF??
 
Dont count on which one? Mwenyeze Mungu or maisha marefu...? Unaogopa pollonium mwanakijiji?

on maisha marefu..Mungu I always count on Him kama "yuko upande wangu ni nani aliye dhidi yangu" kwani yeye " ni kimbilio na nguvu; msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso!"
 
Ngabu everybody knows he is a "dickhead", but there are two guys behind him, the two former presidents who controls him, note that; in this country "presidents" survive by a "rumour", and so far the rumours are not enough to make him feel the heat. The former presidents rely on him and JK relys on them; only when one day the boys and gals will start to rampage the streets then they will know where they belong to. They will never be welcome by the west, I am sure they will all fly to china. These days are nearing; see how people are poor and angry; the anger has exceeded the limits!

IO

Huo ndio ukweli wenyewe!
 
Ni ukweli kabisa ule usemi wa "You can fool some people some of the time, and you can fool all the people some of the time, BUT YOU CANNOT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME!"

Ndivyo RA na JK walivyokuwa wakifanya -- maana waliamua kabisa Watanzania wote ni mabwege tu.

Ile habari ya T. Daima Jumapili ilitayarishwa na kina RA kwa usaidizi wa Salva kwa kupitia wahariri wa gaezti hilo -- Kibanda na Mullinda -- ambao daima nasema ni watu wa RA. Mbowe upo? Au sasa tuanze na wewe -- yaani uwe mjadala humu JF??

Zak... taarifa ya Tanzania Daima niliichombeza mimi katika kupima nani rafiki na nani adui; wakaichukua na kuila kama samaki alavyo chambo; ilipotoka jinsi ilivyotoka nilicheka. At least I know who not to count katika mapambano haya. Kumbukeni ni kutoka kulalamika kuelekea kuhamasika.

Ujuzi tunaoupata na taarifa tunazotoa siyo kwa ajili ya kufurahisha genge. Itakuwa ni ukosefu wa kujiamini na kushindwa kwa lengo kama tunapokea habari hizi na kuchekelea na kusema "duh.. hii kali" halafu basi.

Haitoshi kupokea taarifa hizi na kusema "duh jamaa wana habari hawa sijui mafisadi watafanya nini sasa". Hapana; lengo ni kutupa nguvu wananchi (empowering) kuweza kusema hapana.

Kama nilivyosema kuwa vyovyote vile ilivyo majenereta ya Dowans lazima yanunuliwe na serikali kwani ni yeye pekee mnunuzi pekee aliyeangaliwa na hawa kama sehemu ya ahadi yao. Now, what do we do? Una uwezo wa kukubali na kusema "hewala" au unaweza ukasema "hatutaki". Unaweza kusema "waacheni tu wafanye wapendavyo au ukasema inatosha!".

Lengo ni kutupa nguvu ya kuwakatalia watawala kutawala wapendavyo. So, I recognize your appreciation of this vital information but it is not enough to know; you have to act. How? call Ngeleja, call Rostam, call the President if you are bold enough and tell them you sentiments. Otherwise, kaa pembeni furahia tu habari hizi and carry on with your life. Kama unataka kumpigia simu Jenerali Al-Awadi mwenyewe wasiliana nami chemba I'll give you his number so you can give him the piece your mind.

Hata hivyo lazima mafisadi na wapambe wao watambue kuwa kauli yangu ya kwenye sahihi yangu hapa ni ya KWELI.
 
on maisha marefu..Mungu I always count on Him kama "yuko upande wangu ni nani aliye dhidi yangu" kwani yeye " ni kimbilio na nguvu; msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso!"

MKJJ Yani umeniacha sina mbavu..Lakini ni sawa tu,ni vyema kumtegemea Mungu licha ya kwamba naamini kabisa kuwa kungekuwa hakuna kifo basi wengi wetu sana wasinge give a shit about God.
Madhali ufanyakazi wako ni kama mashine isiyochoka ambapo hata mimi mwenyewe hushangazwa sana kwamba mtu mmoja ataweza vipi kufanya kazi zako na kazi zako zinahatarisha usalama wa mamilioni kama si mabilioni ya dola za mafisadi,Then ni bora uombe Mungu na pia uchukue hatua maana huwezi kuomba Mungu tu bila kufanya something kwa kuwa makini kwani wa hapa marekani hata 5,000 tu contarct killer anabeba...Sasa i beleieve you worth more than that. lol
The last thing tutakachopoteza ni kukupoteza wewe MKJJ sio lazima kwa kifo. Ila kazi unayofanya MKJJ ukiwa rais utafanya hivyo hivyo? Honestly,sifa za kiongozi ni uchapa kazi,so badala ya kufa tunakuombea maisha marefu na kama kweli kuna Mungu basi utapata nafasi ya kuwatumikia watanzania kwani thats the kind of people we need.
 
Zak... taarifa ya Tanzania Daima niliichombeza mimi katika kupima nani rafiki na nani adui; wakaichukua na kuila kama samaki alavyo chambo; ilipotoka jinsi ilivyotoka nilicheka. At least I know who not to count katika mapambano haya. Kumbukeni ni kutoka kulalamika kuelekea kuhamasika.

Ujuzi tunaoupata na taarifa tunazotoa siyo kwa ajili ya kufurahisha genge. Itakuwa ni ukosefu wa kujiamini na kushindwa kwa lengo kama tunapokea habari hizi na kuchekelea na kusema "duh.. hii kali" halafu basi.

Haitoshi kupokea taarifa hizi na kusema "duh jamaa wana habari hawa sijui mafisadi watafanya nini sasa". Hapana; lengo ni kutupa nguvu wananchi (empowering) kuweza kusema hapana.

Kama nilivyosema kuwa vyovyote vile ilivyo majenereta ya Dowans lazima yanunuliwe na serikali kwani ni yeye pekee mnunuzi pekee aliyeangaliwa na hawa kama sehemu ya ahadi yao. Now, what do we do? Una uwezo wa kukubali na kusema "hewala" au unaweza ukasema "hatutaki". Unaweza kusema "waacheni tu wafanye wapendavyo au ukasema inatosha!".

Lengo ni kutupa nguvu ya kuwakatalia watawala kutawala wapendavyo. So, I recognize your appreciation of this vital information but it is not enough to know; you have to act. How? call Ngeleja, call Rostam, call the President if you are bold enough and tell them you sentiments. Otherwise, kaa pembeni furahia tu habari hizi and carry on with your life. Kama unataka kumpigia simu Jenerali Al-Awadi mwenyewe wasiliana nami chemba I'll give you his number so you can give him the piece your mind.

Hata hivyo lazima mafisadi na wapambe wao watambue kuwa kauli yangu ya kwenye sahihi yangu hapa ni ya KWELI.

Nina ujasiri wa kutosha kusimamia maamuzi yangu, kutoa maoni yangu lakini viatu vyako MKJJ siwezi kuvivaa, kamba zako za viatu siwezi kuzilegeza na Nikutakie tu maisha marefu na katika haya mapambano, tuko nyuma yako hata kama ni kwa wepesi wa konokono, hauko pekee
 
"... taarifa ya Tanzania Daima niliichombeza mimi katika kupima nani rafiki na nani adui; wakaichukua na kuila kama samaki alavyo chambo; ilipotoka jinsi ilivyotoka nilicheka. At least I know who not to count katika mapambano haya. Kumbukeni ni kutoka kulalamika kuelekea kuhamasika.

Ujuzi tunaoupata na taarifa tunazotoa siyo kwa ajili ya kufurahisha genge. Itakuwa ni ukosefu wa kujiamini na kushindwa kwa lengo kama tunapokea habari hizi na kuchekelea na kusema "duh.. hii kali" halafu basi.
____________________

MKJJ: Kama hivyo ndivyo ilivyo I am bamboozled!!! Watu hawa wa T. DAIMA ni mambumbu kiasi hicho? Hata hivyo ujumbe wangu kwa Mbowe unabakia pale pale!
 
Last edited:
kuwa makini kwani wa hapa marekani hata 5,000 tu contarct killer anabeba...Sasa i beleieve you worth more than that. lol

Mangi, are you suggesting there is a hit out for Mwanakijiji? And how did you know about the asking price?

Ila kazi unayofanya MKJJ ukiwa rais utafanya hivyo hivyo?

Akiwa raisi? Ameshatangaza kugombea?

Honestly,sifa za kiongozi ni uchapa kazi,so badala ya kufa tunakuombea maisha marefu na kama kweli kuna Mungu basi utapata nafasi ya kuwatumikia watanzania kwani thats the kind of people we need.

Huh!? 'Badala ya kufa tunakuombea maisha marefu'......what the hell is that Mangi? You need to stop chugging that mbege boy
 
lengo ni kutupa nguvu wananchi (empowering) kuweza kusema hapana.....but it is not enough to know; you have to act. How?

Mkuu Mwanakijiji, heshima yako!

"Again, this is not a time for misoneism; it is not a time for retaining our government body faute de mieux. The predictable outcome is unbearable. Whatever our choice is, one thing is certain; we can no longer say that we didn't know" - Kyoma 19th of June 2007.
 
Mangi, are you suggesting there is a hit out for Mwanakijiji? And how did you know about the asking price?

Akiwa raisi? Ameshatangaza kugombea?

Huh!? 'Badala ya kufa tunakuombea maisha marefu'......what the hell is that Mangi? You need to stop chugging that mbege boy

Nyani kwani maisha marefu na maisha mafupi hayawi determined na kifo? MKJJ alisema anaomba Mungu na mimi nikasema kama si kifo pengine wengi wetu tusingefikiria habari ya ama kuna Mungu ama la.
Kuhusu uraisi ni haki ya kila raia wa Tanzania endapo atafikia vigezo vilivyowekwa, na ndipo pointi yangu ilipokuwa.
Kuhusu a hit ni kwasababu walizungumzia maisha yake na ku refer kazi anayofanya ambapo uki connect dots utaona kuwa ni reference ya kazi hatari...Sasa unashangaa nini nilipomention hit man? Kwani kazi ya hitman si kuua? Ama mtu akiuwawa hajafa? Asking price you dont know? Well kama hujui kitu haina maana wengine hawajui...Na habari ndiyo hiyo...Hapa USA kichwa yako $ 5000 tu.
Unajuwa Nyani wewe kazi yako ku float na double standards.
 
Ile habari ya T. Daima Jumapili ilitayarishwa na kina RA kwa usaidizi wa Salva kwa kupitia wahariri wa gaezti hilo -- Kibanda na Mullinda -- ambao daima nasema ni watu wa RA. Mbowe upo? Au sasa tuanze na wewe -- yaani uwe mjadala humu JF??
Ebanaeee! Watu sasa naona mmeamka. I frankly love this!
 
Nionyeshe "double standards" zangu. Na kuhusu ku "float"...sijui hata unaongelea nini wala kumaanisha nini....

Mbege sio chai Mangi....

Double standard iko kwenye usemi wako wa Miarfika ndivyo ilivyo kwasababu siyo wakati wote iko applied,hauwezi kusema ndivyo tulivyo just at certain times na wakati statement ni generalisation ya all the time....Sasa ukiwa na double standard siyo floating? Unaelea elea tu....Sasa kama ndivyo tulivyo basi hata kazi ya MKJJ hapa haina mpango base na assumption na generalisation...Lakini hapa JF manajuwana wenyewe na ndio maana unaelewea hapo na wanakubaliana...Naona si wote wanakunywa mbege, ila sijui kama kuna yeyote hapa USA,kisusio wanakunywa,mbege sijasikia.
 
Now, what do we do? Una uwezo wa kukubali na kusema "hewala" au unaweza ukasema "hatutaki". Unaweza kusema "waacheni tu wafanye wapendavyo au ukasema inatosha!".

Lengo ni kutupa nguvu ya kuwakatalia watawala kutawala wapendavyo... you have to act. How? call Ngeleja, call Rostam, call the President if you are bold enough and tell them you sentiments. Kama unataka kumpigia simu Jenerali Al-Awadi mwenyewe wasiliana nami chemba I'll give you his number so you can give him the piece your mind.

Is it possible to collect public opinion on the matter? I think it is time to form public opinion with statistic. Thus far, it seems like people are disatsfied however, there is no action to be taken. I think if the public opinion is formed with facts, no leader will ignore that.

First, we can have a small poll asking citizen if they want the government to buy downs equipments or not? Let’s get citizens opinion establish fact for action. We can push, REDET to do that! Why not! It is the only poll institution at national level to measure public opinion on political issues. If they refuse we attack it legitimacy, which is in question anyway. REDET should be pressured to take public poll on dowans – it is not a request it is the right thing to do to serve the interest of the public now.

Second, I am not sure how cheche is distribute, but it call be used to collect public opinion.

Third, I am not sure what allies can be built with TV station – but it is about time to have airtime to specifically seek public opinion on the matter. Jenerali on Monday and Je tutafika could be platform. You could organize the vipindi not only to discuss the matter rather to call public opinion on the matter, where it could be organized in a way that citizen could call in and give their opinion on the matter, while we organize people to go around in different bars to get viewers opinion.

Fourth, we could talk we cellular network to provide a hotline to collect public opinion.

Lastly, we organize a peace walk to ask the government to take an action following the public opinion.
 
Dowans, who's Dowans !! This is crazy. Somebody, somewhere is trying to ram it down our tender throats that there's Dowans - which Dowans ?

on maisha marefu..Mungu I always count on Him kama "yuko upande wangu ni nani aliye dhidi yangu" kwani yeye " ni kimbilio na nguvu; msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso!"

Mwanakijiji, naamini kwa kazi hii unayofanya MUNGU yupo pamoja nawe. Kwa lolote litakalokutokea, malipo ya watakaolifanya watayapata hapa hapa duniani na katika kipindi kifupi sana.

Mungu akuongezee ujasiri, nguvu, afya na ari ya kuendelea kutetea maslahi ya Taifa lako. Tutaendelea kukuunga mkono mpaka mwisho. Kufa ni wajibu wa kila kiumbe hai. Eventually, wote tutakufa tu. Kinachotakiwa kujiuliza ni "Tutakufa na kuacha nini? Ni hazina gani tunayoiacha baada ya maisha yetu?" Ukifa kwa kutetea mema utaishi kwenye nyoyo, mawazo na akili za watu kwa muda mrefu.

Nakushukuru Mkuu kwa jitihada zako.
 
Nilijua siku nyingi kuwa Mkuu wa kaya na yeye anhusika kwani speed ya kushugulikia mafisadi ni ndogo pamoja na kuwa amekuwa na ujasiri kidogo kulinganisha na kaka yake che nkapa.

Mwanahalisi tukwekeeni mapema online tuweze kuona uohozo wa serikali yetu, ndio maana wanataka kumkaanga Mengi kwa mafuta yake mwenyewe kwa kuwa wanamuona kama msariti.

sasa na wamtafute MKJJ kama wanaweza
 
Mimi Kinachonishangaza kuwa information kutoka serikalini kuhusu DOWANS and RICHMONDULI haijatolewa mpaka hii leo - nina wasiwasi kwamba hayo makaratasi ya BRELA yasije yakawa yanapikwa ili kumtaja mtu fulani halafu huyo mtu awe ndio BANGOSILO ili wengine waendelee kula. It takes a hell of time to get these things out - isije ikawa makaratasi yanatengenzwa kuonyesha 'A' is a shareholder!!!!!!!!!!

I am at a loss
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom