Yethero Mgale
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 525
- 228
Jana wakati akichukua fomu ya kuomba ridhaa ya CCM ya kupeperusha bendera yake, waziri wa ushirikiano wa Afrika Mashariki na mbunge wa Kyela, Dr. Harrison Mwakyembe amesema kuwa watu waliohusika kutuma ujumbe mfupi wa maneno kuwa yeye ameapa kufa au kupona kuhakikisha Lowassa haiingii ikulu tayari wamekamatwa na ameapa kuwa lazima awafikishe mahakamani watu hao.