Mwakyembe: Watu walioeneza ujumbe wa mimi kuapa Lowassa haingii Ikulu, wamekamatwa

Yethero Mgale

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
525
225
Jana wakati akichukua fomu ya kuomba ridhaa ya CCM ya kupeperusha bendera yake, waziri wa ushirikiano wa Afrika Mashariki na mbunge wa Kyela, Dr. Harrison Mwakyembe amesema kuwa watu waliohusika kutuma ujumbe mfupi wa maneno kuwa yeye ameapa kufa au kupona kuhakikisha Lowassa haiingii ikulu tayari wamekamatwa na ameapa kuwa lazima awafikishe mahakamani watu hao.
 

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
1,225
Ule Ujumbe aliandika Mwakyemba ila kabla ya kusambaza wakasambaza wajanja.
Ukitaka kujua hilo ni kwamba angekuwa hahusiki wahusika wangekuwa wamekamatwa na hii ndio dalili kubwa ya Mwakymbe kuchukua Form ya kuwania urais kwa kuwa hataki Nduli akae Ikulu.
 

Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
24,098
2,000
Hivi kwanini wanasiasa wote wa ccm wanamuogopa Lowasa?

Tibaijuka, Sofia Simba, Hawa Ghasia, Makongoro, Masele, Ngeleja, Chenge, Rostam, Bashe, Kingunge, Guninita, Mkulima, Mgana msindai, Lawrence Masha, Cyril Chami n.k hawa wote ni wafuasi wa Lowassa na Ni wana Ccm, unaposema wana Ccm wote wanamuogopa Lowassa sijaelewa naomba ufafanuzi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom