Mwakyembe usikubali ushujaa wako upotee haraka na kirahisi hivyo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwakyembe usikubali ushujaa wako upotee haraka na kirahisi hivyo!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtaka Haki, Jan 11, 2011.

 1. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mpendwa Dr. Mwakyembe, Umekuwa rafiki wa watanzania wa vyama vyote na wa kila mahali. Ushujaa wako ulitokana na yanayoendelea sasa ambayo kama mashujaa hawatasimama basi mafisadi ( Dowans) watalipwa.

  1. Kwa kuwa wewe ndiye uliyefunua mapema uovu uliokuwepo wa Richmond basi tafadhali usinyamaze. Mwenzako Sita ameweka maslahi ya taifa mbele ya cheo chake na kanuni za kawaida.

  2. Tafadhali jitokeze useme chochote au tupe tu taarifa tuzitumie ipasavyo.

  3. Ukinyamaza kabisa wakati huu Mungu atatokeza mlango na wokovu kwa njia nyingine, lakini wewe hutakuwa salama kuliko watanzania wengine wasio mawaziri. Walakini ni nani ajuae kuwa hukuujilia ufalme ( uongozi) kwa ajili ya wakati kama huu?

  4. Usikubali kuvunjwa moyo kuwa unaibu uliopewa ni hongo ya kukufunga kinywa bado inawezekana.
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  He could be suffering from the ''african hero turned coward'' syndrome! I won't be suprised to see people suprised!
   
 3. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  What does he need to say? Its either 'dowans shuld not be paid' or 'dowans shuld be paid'. Whatever he says will have minimum effect!! He wuld have said it before the decision came out. For now he shuld observe his work ethics and refrain himself from making statements that contradict what his other cabinet members have stated!!
   
 4. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Vipi na kina Seleli naona naye yuko kimya sana!

   
 5. B

  Bluebird Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtaka Haki while I am on your side, I don't think yours is a fair expectation. What is Dr. Mwakyembe expected to say? What would be his authority in this case? Whatever he says will put him in a bad spot. If he is as smart as you believe he is, then he is not going to expose himself to attacks by making a point in this issue, and while I am not a CCM supporter in any way, I'd agree with him if he were to chose not to say anything. Let's continue fighting knowing that people like him within CCM are taking notes and eventually will revolt against this government.
   
 6. n

  niweze JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Whats Wrong with Mwakyembe? We need to Hear from You at This Moment. Taifa Linasubiri Kauli Yako Katika Mambo Yote Muhimu au Wamekudhibiti Tena? Show us What You Can Do for Your Country and Not What Country Can Do for You?
   
 7. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mwakyembe amewaangusha Watanzania katika hii vita toka mwanzoni. Anajua ukweli wote katika hili lakini hakutaka watanzania wajue kila kitu, kwani kuna mambo aliyaficha kwa lengo la kuinusuru serikali. Angetoa ukweli wote bila ya woga basi wahusika wakuu wangelijiuzulu mapema sana na sasa kungekuwa hakuna tena mtu wa kutetea Dowans. Lakini Mwakyembe alichofanya ni kukata matawi ya mti na kuacha shina ambalo lina uwezo wa kutoa matawi mengine. Kwa ufupi Lowasa pamoja na kwamba alijiuzulu kwa kuhusika katika suala hili la Dowans lakini muhusika mkuu AKA kinara wa suala hili ambaye alibariki maamuzi yote ya Lowasa hakuguswa, na hili Mwakyembe analijia fika. Kumfunga mdomo kapewa unaibu uwaziri.
   
 8. J

  JajiMkuu Member

  #8
  Jan 12, 2011
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <p>
  </p>
  <p>&nbsp;</p>


  Sasa Mwakyembe kanena! Track record yake ni ya mwanaharakati asiyeyumba: mwaka 2001 aliziuzulu ukurugenzi NBC LTD kupinga wizi wa wazungu wa ABSA na unyanyaswaji wa wafanyakazi wazawa ndani ya benki hiyo; mwaka 2008 Dk. Mwakyembe na wenzake waliweka historia nchini kwa kuweka pembeni unafiki na uswahiba, hivyo kuibua ufisadi ndani ya Serikali na kusababisha Lowassa, Msabaha na Karamagi kuachia ngazi, hivyo kuvunjwa kwa Baraza la Mawaziri. Ningeshangaa sana unaibu waziri umzuzue!
   
 9. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I think the decision should be between serving the interest of the nation or the interest of those appointed him. If he choose the former then he can give his strong stand, if they wont accept his advice then the only choice is to resign.
   
 10. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #10
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,579
  Likes Received: 3,882
  Trophy Points: 280
  Tanzanians like statements, JK could issue the very welcomed statement about Dowans, yet they will be paid! guys MWAKYEMBE IS ANOTHER COWARD AND HYPOCRISY!!! If he dont support all this issues which are being done by the government that he is in, let him step down

  Group them...

  Mwakyembe
  Sita

  Kilango,

  all that you thought they are ''fighters' they are real hyprocrisy POLE WE! kuweka karatasi ufukweni ukiamini utalikuta asubuhi

  Hivi ni lini mtaacha kuiamini CCM??? Nothing good comes out from it! Nothing!!
   
 11. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nasikia amenena. Nisaidie nipate taarifa laiyotoa please
   
 12. G

  GAMA LUGENDO Senior Member

  #12
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dr Mwakiyembe has arleady spoken on this matter.Read Nipashe ya leo 12, January 2011.Ameweka wazi hakubaliani na ulipaji wa fedha za walalahoi kwa kampuni feki.I respect him, he is not a coward, he is a really a man of the people.May the Almighty God give him long life and more wisdom so that he can keep on helping the general public of Tanzania ambayo kwa sehemu kubwa hivi sasa ina endure power vaccum from the top leadership.
   
 13. ANKOJEI

  ANKOJEI JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 701
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Mwakyembe kesha sema !dowans ni kampuni hewa! refer nipashe nimesahau tarehe! KATUMWA NA JK, sababu ipo!

  Acrobatic ya CCM.
  Sitashangaa kama siku JK akisema anarudisha swala hili la dowans bungeni walijadili akijua vema kuwa watalikataa katakata.
  Sitashangaa kama siku JK akisema deni hilo TZ hailipi ng'o

  Sababu, ni kwamba CCM wanajua vema jinsi upepo wa mageuzi unakoelekea, na watataka ku2mia baadhi ya mambo ili kugeuza upepo wa kisiasa Tanzania.
  Kama huamini pita baadhi ya mitaa nje kidogo ya miji au vijijini au hata Morogoro mjini uone upepo ulivokuwa wa vuguvugu baada ya JK kukubali mambo ya katiba.

  Jambo la Muhimu, USIUZIWE MBUZI KWA GUNIA.
   
Loading...