Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Swala la vyombo vya habari kama Radio na TV kutangaza na kuchambua kiundani habari za magazetini ni kosa kisheria.
Yani mwenye magazeti wapinde kuandika habari zao hawa wa TV au Radio wao wazibebe kama zilivyo hata bila kulipia wazitangaze kwenye media zao. Hapana hapana hapana....Walikuwa wamezidi hawa jamaa. Huu ni wizi wa kibiashara.
Walifanya tusinunue hata magazeti maana tukishasikiliza radio au TV tunajua moja kwa moja ni nini magazeti yameandika kwa ufupi.
Hili nakupa big up Mwakiembe. Wengine hata kama tunamchukia jamani tumpongezeni.
Sasa wapinzani wenzangu msianze nishambulia kwa mapovu yasiyosuuzika. Kwenye ukweli acha tuseme ukweli.