Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,195
- 31,250
Hivi ile simu ya kumaliza UBOHO iliisha mwilini?
Faiza Fox Effect at work1:Ili mbeba = ilimbeba,
2:atua = Hatua,
3:Ushaidi = ushahidi,
4:adharani =Hadharani
5:Utatuakikishia = utatuhakikishia
6: ubadhilifu =ubadhirifu
7:. mweshimiwa = mheshimiwa
8:Alishugulikie = alishughulikie
9: tayali=tayari
10: inatuonyesha =inatuonesha
Makosa mengi ya harufi hadi uvivu, siyo lazima kuandika habari, unaweza kubaki msomaji ili JF itabaki na hadhi yake!!
1:Ili mbeba = ilimbeba,
2:atua = Hatua,
3:Ushaidi = ushahidi,
4:adharani =Hadharani
5:Utatuakikishia = utatuhakikishia
6: ubadhilifu =ubadhirifu
7:. mweshimiwa = mheshimiwa
8:Alishugulikie = alishughulikie
9: tayali=tayari
10: inatuonyesha =inatuonesha
Makosa mengi ya harufi hadi uvivu, siyo lazima kuandika habari, unaweza kubaki msomaji ili JF itabaki na hadhi yake!!
1:Ili mbeba = ilimbeba,
2:atua = Hatua,
3:Ushaidi = ushahidi,
4:adharani =Hadharani
5:Utatuakikishia = utatuhakikishia
6: ubadhilifu =ubadhirifu
7:. mweshimiwa = mheshimiwa
8:Alishugulikie = alishughulikie
9: tayali=tayari
10: inatuonyesha =inatuonesha
Makosa mengi ya harufi hadi uvivu, siyo lazima kuandika habari, unaweza kubaki msomaji ili JF itabaki na hadhi yake!!
Baki kuwa msomaji tu ,hakuna cha ujumbe muhimu wala nini!nyie hamkosei bali hamjui lugha adhimu ya kiswahihili muache kukinajisi kwa misamiati yenu ya ajabu!Ujumbe ndiyo muhimu
Kama kiswahili kisingekuwepo ungeandika kwa kutumia lugha gani hapa jamii forums?Ujumbe ndiyo muhimu
Lowassa hahusiki direct, alipopewa uwaziri aliikuta richmond, na alimwambia jk waiondowe italeta noma akamkatalia, tena zaidi ya mara moja, na huo ndo ujasiri wa LowassaNaamini kabisa kwamba Lowassa alipojiuzulu uwaziri mkuu, alikuwa anapisha uchunguzi ufanyike na sheria ichukue mkondo wake, lakini serikali ilishindwa kupata ushahidi wa kumpeleka Lowassa mahakamani, hata mzee wa vijisenti msisahau, leo anatesa bungeni, pia naamini Lowassa yuko tayari kupelekwa mahakamani hata sasa hivi, lakini nyuma yake kutakuwa na serikali yote ya chama cha mapinduzi kuhusika na wizi huo, usione wananyamazia, wote kuanzia wa juu kabisa mpaka wa chini wanahusika, hakuna mwema hata mmoja.
Asante kwa kunisaidia kuwaonya majambazi wa lugha yetu!!Baki kuwa msomaji tu ,hakuna cha ujumbe muhimu wala nini!nyie hamkosei bali hamjui lugha adhimu ya kiswahihili muache kukinajisi kwa misamiati yenu ya ajabu!
Kwani kuna tabu gani ukitumia walau dakika moja kupitia maaandishi yako kabla hujawasilisha humu?
Cc Faiza Foxy
Asante kwa kunisaidia kuwaonya majambazi wa lugha yetu!!
Ni majambazi hao, kama ingekuwa pesa iliyo ki makosa(ki kharamu ) namna hiyo angefungwa
washika mapembe wanajulikana......
Mwakyembe betrayed us pale alipoficha ukweli kwa kuhofia serikali kuanguka. Alificha kwa maslahi ya nani?Kosa ni Mwakyembe au bunge lililoshindwa kumwajibisha Lowassa baada ya kukimbilia kuachia uwaziri mkuu? Maana Mwakyembe alitoa ripoti kama alivyoagizwa na Bunge, lakini bunge halikutoa maamuzi au kuishauri serikali hatua sahihi za kuwachukulia wahusika.