sigitoro
Member
- Oct 13, 2012
- 68
- 6
Tunaomba mapato ya bajaj yapunguzwe au yatolewe kwa watu wanaomiliki bajaj moja au chini.ya tatu,gharama za uendeshaji ni kubwa,ukiangalia kila baada ya wiki mbili tunaenda service na inagharimu si chini ya elfu 30 tunakuomba waziri tuondolee hii kodi tunateseka sisi watu wa chini