Mwakyembe tunataka majibu ya uchunguzi, kutekwa kwa Roma na wenzake

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
Tunamtaka mwakyembe aje na majibu ya matokeo ya uchunguzi Wa tukio LA kutekwa kwa Roma na wenzake kama alivyoahidi. muda umepita sasa ila naona yuko kimya badala yake ameanzisha vita ya kupambana na wanaoimba kuikosoa serikali
 
Kwani majibu yake Yeye binafsi ya uchunguzi wa ' kubabuliwa ' uso wake kama Kenge mpaka leo yametolewa Mkuu?
 
Back
Top Bottom