Samson Ngomboli
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 1,422
- 2,232
Waziri mwenye dhamana ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Mwakyembe amekanusha vilivyo taarifa zinazosambaa kumhusisha na ukosoaji wa wimbo mpya wa Roma Mkatoliki, akisema Watanzania wanapenda kupandanisha mada kwani alichokuwa anazungumzia ni tofauti kabisa na kuwa Roma ni miongoni mwa wasanii wasomi Tanzania.
Chanzo: Global tv online.
Pia soma
Chanzo: Global tv online.
Pia soma
Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa
"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za...
www.jamiiforums.com