dux limit
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 143
- 55
Inasikitisha kuona umekaa katika ubunge kwa mihula mitatu lakini hadi leo wiyala inakosa barabara ya uhakika na ikiwa umepita katka wizara ya ujenzi, uchukuzi na sasa katiba.
Hivi ukiwa hujui hata haki za kikatiba za wananchi wako upasazo kuwatimizia ni vipi utaweza litimizia taifa haki za raia wake.Ulipokuwa unaomba kuchaguliwa uliahidi kuwapatia mahitaji muhimu kwa maendeleo ya wilaya kama maji safi na salama, barabara, huduma bora za afya, elimu bora nk.
Lakini kadri siku zinavyoenda ndio jimbo linazidi kuwa mji mkongwe wa kihistoria na kupoteza mvuto wa Kyela kuwa kiini cha biashara na maendeleo. Kyela ina kila kitu kuanzia ardhi safi, vyanzo vya maji na nguvu kazi ya kutosha lakini tatizo ni kiongozi wa wananchi mwenye uwezo wa kuhamasisha maendeleo na mbunifu.