Mwakyembe ni aibu nyingine ya wasomi wetu kwenye siasa

Huyu mzee nafurahi sitoki tena naye tena mkoa mmoja maana mie kwetu ni kumekuwa mkoa wa songwe ye amebaki mkoa wa mbeya ningejisikia aibu sana maana ameitupa taaluma yake na ule weledi wake alokuwa nao huku nyuma na amegeuka kuwa mchumia tumbo .prof mwandosya embu ongea na huyu ndugu yako umuamshe
 
Duh..serikali ya Ngosha ni ya mwendokasi aiseee......

Message sent? and delivered....kwa wale wote mnaodhani Magufuli ana ubia na mtu kwenye Urais wake.......Please be warned!

Mlimchagua wenyewe kwamba mnataka dictator..sasa maji mmeyavulia......what else?
Vp bashite
 
Huyu bwana akuwahi kusikika hapo nyuma isipokuwa kwenye tukioa la Richmond ambapo alionekana kuwa ni shujaa sana. Mimi nakumbuka nilipenda sana kumfahamu huyu mtu ni nani kwa kipindi hicho akiwa kwenye kilele kisiasa.

Sasa amekuwa kama mpira wa makaratasi anapigwa huku na kule toka wizara moja kwenda nyingine na kila aendako anafanya vituko. Ni nani alimlaani Mwakyembe? Mwakyembe alijilaani yeye mwenyewe alipokubali kutumika na wanasiasa mbali mbali wakiwepo akina sitta, kikwete na wengine waliofuatia.

Baada ya hapo alichuja kwa haraka sana na mpaka sasa kutolewa kwenye uwaziri wa katiba na sheria kupelekwa kwenye uwaziri wa michezo, sanaa na habari ni mwendelezo wa yeye kuendelea kushindwa na kupoteza kabisa sifa azlizokuwa nazo miaka ile ya 2008-2009.

Kama ningekuwa yeye ningesema siasa basi. Ningepumzika kwa heshima. Najua anakoelekea ni kuja kupewa ukuu wa wilaya tu huko mbeleni. Najiuliza mwakyembe Mwakyembe umepatwa na nini?
hii inaitwa political demotion
 
Eti daktari wa sheria unakuwa Waziri wa habari, Sana'a na michezo? Hainingii akilini ila akufukuzae hakuambii toka.
Na lile povu lote alilomwaga tarehe 24.10.2015 star TV kuhusu Lowassa akidhani atapewa uwaziri mkuu ndio anaishia huku?
Amezeeka hana jipya tena hapa duniani
 
Kuanzia kesho Mwakyembe ofisini kwake atakuwa anawapokea wakina Giggy Money na Harmorapa ili wajadili sanaa ya Bongo. Hatariii
 
Huyu mzee nafurahi sitoki tena naye tena mkoa mmoja maana mie kwetu ni kumekuwa mkoa wa songwe ye amebaki mkoa wa mbeya ningejisikia aibu sana maana ameitupa taaluma yake na ule weledi wake alokuwa nao huku nyuma na amegeuka kuwa mchumia tumbo .prof mwandosya embu ongea na huyu ndugu yako umuamshe
Mshukuru sana Mungu wako kwa kukutenganisha nae.Mimi ni wa kijiji kimoja,nimefanikiwa kukihama kijiji,kwa sasa nipo kwenye process za kubadili kabila.Huyu ameifanya wilaya ya Kyela ionekane ya hovyo kuliko wilaya zote Tanzania. Likusekaseka itolo nghati ikonyofu
 
Kutoka wizara ya Sheria hadi wizara ya kucheza Rede hahahaha..... that is pure demotion
 
Bo
Huyu bwana akuwahi kusikika hapo nyuma isipokuwa kwenye tukioa la Richmond ambapo alionekana kuwa ni shujaa sana. Mimi nakumbuka nilipenda sana kumfahamu huyu mtu ni nani kwa kipindi hicho akiwa kwenye kilele kisiasa.

Sasa amekuwa kama mpira wa makaratasi anapigwa huku na kule toka wizara moja kwenda nyingine na kila aendako anafanya vituko. Ni nani alimlaani Mwakyembe? Mwakyembe alijilaani yeye mwenyewe alipokubali kutumika na wanasiasa mbali mbali wakiwepo akina sitta, kikwete na wengine waliofuatia.

Baada ya hapo alichuja kwa haraka sana na mpaka sasa kutolewa kwenye uwaziri wa katiba na sheria kupelekwa kwenye uwaziri wa michezo, sanaa na habari ni mwendelezo wa yeye kuendelea kushindwa na kupoteza kabisa sifa azlizokuwa nazo miaka ile ya 2008-2009.

Kama ningekuwa yeye ningesema siasa basi. Ningepumzika kwa heshima. Najua anakoelekea ni kuja kupewa ukuu wa wilaya tu huko mbeleni. Najiuliza mwakyembe Mwakyembe umepatwa na nini?
bora arudi Chuo akafundishe.
 
Mchumia tumbo tu huyo kyembe wanatia huruma ukiwaangalia sura zilivo washuka wanavo apishwa wame patikana sizo anawakomesha na vitambi vyao
 
Huyu anatumika kama mfano huku mtaani wa msomi aliyeekana vitabu vyake alivyooandika kwasababu ya siasa.

Ameweka elimu pembeni anafanya asichokiamini kwasababu ya siasa.

Back
Top Bottom