Mwakyembe ndani ya kanisa la Gwajima; ashukuru kwa maombi akiri kulishwa sumu!

Sumu alipewa na Mkewe ni ngumu sana kuamini lakini alichelewa kuiga mbinu za Six ambaye kwasasa hamuamini mtu yeyote hadi Mkewe. Kwa sasa huwezi kumpa chakula Six popote na anayempikia ni Dadaye wa damu tu!Sumu hii ni kazi ya watatu wa ufisadi na kaka yao wa nne.
 
Dah, eti Mwakyembe ngozi ya 4!!! Na alilishwa sumu....before 2015 CCM watang'oana vichwa...sasa nauona dhahiri ujio wa Ben 2015, vita hii itamneemesha sana..
 
Du kweli wabaya watu....... yaani wamembadili mwanafyale anaonekana kama Desmond Tutu wa Afrika Kusini........
Lakini siku zote anayeua kwa upanga naye atakufa kwa upanga.......

Halafu nimejifunza kitu....... mtu awaye yote akisema uhai wake uko hatarini....... au kuna watu wanataka kumtoa roho....
Katu tusipuuze.....

Lakini mwanafyale atapata ahueni......
 
Ni kweli kabisa ubinafsi na usaliti wake kwa wananchi kwa kuficha siri ili kumpendezesha mkulu ili ampe cheo ndio unamfanya ateseke hapa duniani na pengine hata ahela; pengine angesema kile alichokificha katika ripoti ya tume ya Richmond ,saa hizi tusingekuwa na taabu za maisha zinazotuathiri kwa sababu ya utawala uliopo!!

acheni kudanganyana kina lowassa ndio wanamtesa mwakyembe,anasubiri muda ukaribie uchaguzi mkuu wa ccm wakati lowassa anachukua fomu ndio atakiweka kila kitu hadharani ili wanaccm wamjua lowassa ni mtu wa aina gani licha ya unafiki wake wa kutanga tanga makanisani..lakin mungu mkubwa na yeye kampa gonjwa zito ile mbaya linamtesa
 
Nimemuona mtu kama Kimaro. Mbona Selelii simuoni au ametolewa kwenye ukamanda wa kupigana dhidi ya ufisadi? Eng. Stella Manyanya wapi?
 
Halafu yani wapambanaji wa ufisadi wamebaki hao watano tu?wapi da biti shelukindo,wapi ole sendeka,wapi lucas selelii,wapi mpendazoe,wapi mwambalaswa,wapi mama stella manyanya,wapi kubenea(alipomwagiwa tindikali na kina lowassa hawa walikua nae bega kwa bega),wapi reginald mengi...
 
Halafu yani wapambanaji wa ufisadi wamebaki hao watano tu?wapi da biti shelukindo,wapi ole sendeka,wapi lucas selelii,wapi mpendazoe,wapi mwambalaswa,wapi mama stella manyanya,wapi kubenea(alipomwagiwa tindikali na kina lowassa hawa walikua nae bega kwa bega),wapi reginald mengi...

Pengine wanaogopa........ kile kilichompata Mwakyembe si kodogo.......
 
Watanzania hatudharaulini kwa imani zetu. Wewe kama ni mkristo yakuhusu nini uislamu wa mtu mwingine au yule asiamini kama unavyoamini wewe. Kama huna mapenzi mema juu ya imani ya mwingine basi imani yako ina walakini. Hakuna mwenye imani bora juu ya imani ya mwingine. Nani kati yetu ana ufunuo kuwa Mungu ni mwislamu au mkristo au budha au mlokole. Huku ni kutapatapa. Ndio maana Tanzania tunasema nchi yetu si ya kidini bali watu wake wana dini. Ni vipi tukisema Tanzania ni nchi ya kiislamu au kikristo. Je, hao wasio wa dini hiyo tuwaweke wapi.

Ni vizuri kuwa na mapenzi mema na imani ya wengine. Kama unaweza kumpenda mwanamke au mwanaume; mkaoana bila kujali imani yake kwa nini unamdharau mtu mwingine wa mbali asiyekuhusu eti kwa sababu ni mwislamu, mlokole, mkristu, maskini, shoga, albino, ahaaa! mpare/mhaya bwana.

Sasa kama Mwakyembe amejumuika na wakristu wenzake ubaya uko wapi? Au tulitaka aende wapi. Imani yake inamtuma nini na hichi pengine ndicho kilichompeleka hapo.
 
Nimemuona mtu kama Kimaro. Mbona Selelii simuoni au ametolewa kwenye ukamanda wa kupigana dhidi ya ufisadi? Eng. Stella Manyanya wapi?

Kuna makamanda tena hapo? Wote washalishwa unga wa ndele..kuanzia Sitta, Mwakyembe hadi fundi mchundo Manyanya!
 
Kwa hali isiyo taratiwa,misa ya kumwombea Mwakyembe imeibua siri nzito na kashifa kubwa sana kwa watawala kuhusu kile kinacho itwa mafisadi.Frankly speaking ,it pains much and demoralizes revolutionary ideas.Is this Tanzania we want? Pia napongeza kuwaona Kilango, Limbeli,Kimario kama wazalendo wanaona kuwa Taifa ni bora kuliko ccm.Wito wangu nikuwa huu ndo wakati muafaka kwa watanzania kuamua kuwa moto au baridi nawala si vuguvugu. Mungu ibariki Tanzania,Mungu wabariki wanaharakati.
 
waziri wa afrika mashariki na naibu waziri wa ujenzi wanahangaika ivo?wanashindwa kuamini mungu mmoja wanaamini uchawi?hawawezi kuwa matured hata kidogo?pole mwakyembe kuumwa lakini si vyema kuendekeza mawazo ya kitoto wakati wewe ni mkubwa sasa
 
mi nikisoma habari za Pdidy naishia kufurahis kwa uandishi wako tu. yaani sometime ilibidi kila bandiko lako cc iedne kwenye jukwaa la jokes

teeheee wewe unacheka tu mi nimesoma nikahisi kufa kabisa
Amakuru
 
nikiangalia hii picha nahisi utukufu wa MUNGU UNAKUJA KWENYE HII NCHI
KITENDO CHA HAWA WATANDAWAZI KUWEKA WAZI NDANI YA KANISA KINATUFUNDISHA HAKUNA MWENYE MAMLAKA JUU YA MUNGU UKIANGALIA SANA UTAONA WAMESHAJIKOKI NA AK47 LIWALO NA LIWE NA MUDA SI MREFU TARAJIA YALE YASIYOWEZEKANA NDUGU WAKATI WA UKOMBOZI NI SASA

attachment.php


PPLS POWER
 
Back
Top Bottom