Mwakyembe na ushirika

Mwakih

Senior Member
May 16, 2011
168
54
Mwakyembe pole kwa majukumu.

Nakumbuka nilitoa ushauri hapa jamii forum kuhusu ushirika ulioupeleka kule kyela wakati katika yale mazao yaliokuepo kwa ilani ya uchaguz kakao haikuepo ulitumia mamlaka kuhakikisha ushirika unaenda kyela.

Wananchi walijaa na hasira sana lakini walikwisha kupa mamlaka ambayo kukutengua ni baada ya miaka 5. Hakika uliona hasira zao na hutakuja sahau kilichotokea.

Ungetumia akili hakika kyela ilikua yako na ni mauti ingekutenganisha na kyela ila dharau na kiburi kua watanifanya nini.

Tunajua kua kwenye ushirika wewe ndo supplier wa gunia na ndomaana ulikomalia ushirika.

Ushirika kwa kyela ni jipu ukatumia mamlaka kuhamisha wataala wa kilimo kisa ww ni waziri.
Watu walikua na hasira na wewe naamini umeisoma namba, ulisababisha Tizeba aondolewe uwaziri kisa utekeleze kusudi lako.

Mzee asie sikia la mkuu!!!!????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom