Mwakyembe na Nape wakutana uwanja wa taifa , Nape ashangiliwa

Mechi inaendelea hapa uwanja wa taifa kati ya Tanzania vs Botswana waziri mpya wa sanaa utamaduni na michezo Harryson Mwakyembe yupo hapa ametambulishwa kwa mashabiki lakini wananchi hawajaonyesha kushtuka.
Muda mchache baadae aliekuwa waziri wa michezo Nape Nauye nae ameingia hapa ila cha ajabu amepokelewa na shangwe kubwa huku mashabiki wengine wakisimama.
Ni jambo la kuvutia
14231fdb3cabaf9ad4d33e933163c036.jpg
b9ad7add3264629bba6b59ce9174df4d.jpg
 

Attachments

  • VID-20170325-WA0064.mp4
    7.1 MB · Views: 22
Akiendelea na type ya mambo anayoyafanya hivi sasa.. Hana muda mrefu watu wataanza kumZomea..
Dikteta uchwara.
 
Wanasiasa hawana ugomvi,ndiyo maana wako pamoja kwa furaha tu.

Matokeo mbona hayasemwi!!
 
ati mnashangiliana? tutaufungia huo uwanja. after all ni wa serikali. hayo ni matumizi mabaya ya uwanja.muende mkashangiliane huko barabarani ebo!
 
Hakika ni jambo la kuvutia kwakuwa wote ni wana CCM.

Na ndio maana CCM inawashinda na itaendelea kuongoza taifa hili miaka 100 ijayo. Wapinzani hamjielewi....yani mtu mnamuita shujaa wa taifa hili bado yuko kijani na anamsifia Rais ambaye mnampinga wananchi tuwaeleweje sasa. Bota CCM ituongoze karne nyingine moja...
Hujajua mchezo mnaochezewa na UKAWA
 
Back
Top Bottom