Mwakyembe na Magufuli wizara moja; Je kunani?

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,711
2,226
Naona apa kuna namna haya majembe mawili kuyaweka wizara moja?
Labda wanataka wahitilafiane wenyewe kwa wenyewe alafu akina EL wabaki kupiga makofi
 
Njowepo, nadhani una ugonjwa wa Phobia. Dalili mojawapo ya phobia ni kuogopa kila jambo. Kwani majembe mawili hayawezi kufanya kazi pamoja? Au ulitaka wakae vilaza watupu. ACHA HIZO
 
Tusisahu kazi ya Naibu Waziri ni kujibu maswali bungeni. Mwakyembe bye bye - hakuna tena vita dhidi ya ufisadi wala nini!
 
haya majembe ilibidi yachukue wizara tofauti BUT JK HAPA KANIKUNA GOOD!
 
Naona apa kuna namna haya majembe mawili kuyaweka wizara moja?
Labda wanataka wahitilafiane wenyewe kwa wenyewe alafu akina EL wabaki kupiga makofi

Ulianza vizuri pamoja na heading yako ila hapo kwenye RED, lol!
 
Bado sijaelewa huu ushabiki wa "uzuri" wa waziri mteule John Pombe Magufuli unatoka wapi. Madudu yake Ardhi na Ujenzi yanarudi tena. Msidanganyike na vile vitakwimu vyake mkafikiri ni mchapakazi. Swali moja, hivi ile hasara ya samaki ilifikia kiasi gani?
 
Mafahali wawili katika zizi moja...Mwakyembe Mbeya yuko Mwakipesile(mkuu wa Mkoa) wizarani yuko Magufuli.
 
Hiyo ya magufuli na mwakyembe imetulia mana wakandarasi walishaaza kuvuna kwenye shamba la bibi kama zao na kutimka zao uchina uko.hapo jk kafanyia maoni ya watanzania walio wengi mana mwakyembe lawyer ,pombe enginia hapo pako powa hakuna mikataba feki.ilaaaaaa mhhhhhhhhhhhhhh kwa sita kupewa east africa amechakachuliwa kisiasaaaaaa baibaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sitaaaaaaaaa
 
Magufuli sio engineer
 
nawaamini kwa kiasi fulani hawa watu wawili (Magufuli na Mwakyembe). Kuhitilafiana yatakuwa mapungufu yao tu
 
Bado sijaelewa huu ushabiki wa "uzuri" wa waziri mteule John Pombe Magufuli unatoka wapi. Madudu yake Ardhi na Ujenzi yanarudi tena. Msidanganyike na vile vitakwimu vyake mkafikiri ni mchapakazi. Swali moja, hivi ile hasara ya samaki ilifikia kiasi gani?

we ni mnafiki kila mtu anamapungufu yake bwana ...
 
Tusisahu kazi ya Naibu Waziri ni kujibu maswali bungeni. Mwakyembe bye bye - hakuna tena vita dhidi ya ufisadi wala nini!

Wiuzara yao haitakuwa na Ufisadi na mtaicheck tuuuu ila watakuwa wanatoa mapande ya kufa mtu kwa watakao zembea
 
Hiyo ya magufuli na mwakyembe imetulia mana wakandarasi walishaaza kuvuna kwenye shamba la bibi kama zao na kutimka zao uchina uko.hapo jk kafanyia maoni ya watanzania walio wengi mana mwakyembe lawyer ,pombe enginia hapo pako powa hakuna mikataba feki.ilaaaaaa mhhhhhhhhhhhhhh kwa sita kupewa east africa amechakachuliwa kisiasaaaaaa baibaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sitaaaaaaaaa

Jamaa ana PhD ya Chemistry si ujenzi.
 
BARAZA JIPYA

BUNGE: WILLIAM LUKUVI
UWEZESHAJI: MARY NAGU
FEDHA: MKULLO
HOME AFFAIRS: SHAMSHA VUAI
KATIBA: SELINA KOMBANI
NJE: MEMBE
ULINZI: MWINYI
MIFUGO: MATHAYO DAVID CLEOPA MSUYA
MWASILIANO: MBARAWA MAKAME
ARDHI: TIBAIJUKA
UTALII: MAIGE
NISHATI: NGEREJA
UJENZI: MAGUFULI
UCHUKUZI: OMAR NUNDU
VIWANDA: CHAMI
ELIMU: NCHIMBI
AFYA: HAJI MPANDA
KAZI: kABAKA g
JAMII: SOPHIA SIMBA
ELIMU: NCHIMBI
EAC: SITA SIX 6
KILIMO: MAGEMBE.. YES YES YES TUPE MAMBO YA KIPROFESSOR SASA TUSIFE NA NJAA
MAJI: MWANDOSYA

HAYA HAYA.. THE NEW WINE IN AN OLD BOTTLE OR OLD WINE IN A NEW BOTTLE
 
we ni mnafiki kila mtu anamapungufu yake bwana ...

Madudu yako mengi, kila siku hapa watu mnapiga kelele kuhusiana na matumizi makubwa yasiyo na lazima ya serikali halafu leo hii mnashangilia Mh. Magufuli kupelekwa "miundo mbinu". Mauzo ya nyumba za serikali kwa bei za kutupwa, unyang'anyi wa viwanja na uvunjaji usiofuata sheria wa nyumba na biashara za watu, ni baadhi tu ya "mapungufu" yake kama wewe unavyosema.

Tatizo la Magufuli, "mapungufu" yake ni ya gharama kubwa sana kwa taifa.
 
Am sure kuna watu apo wanaanda resignation hasa pale TANROAD
Hawa watu kwa maoni yangu ilibidi wakae wizara tofauti kuna namna apo hasa ya kumfanya Mwakyembe apoe na issue zake za mafisadi
Ila naona ni kipindi kingine cha kuwa na barabara nyingi za uhakika hasa kule sumbwanga na songea ambazo zimeshaanza bila kusahau ile ya iringa to dodoma via mtera
HINT>ujenzi inainclude barabara na viwanja vya ndege according to JK.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom