Mwakyembe mgonjwa afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima. Yadaiwa alitegeshewa sumu

wame establish wapi kuwa alipewa sumu?

inawezekana ikawa just food poisoning....

2011-09-21+17.38.43.jpg


Taaban!
Taaban maana yake nini hapa?
 
mkuu labda kama unataka tubishane tu lakini taarifa licha ya kuwa ziko polisi hata humu JF zipo ya kwanza ile ya ajari na ya pili ni ile ya Al-shabab...

Ni wapi alipoishutumu Serikali? wacha kubadili mada na udaku uliouleta. Wewe umesema anaishutumu Serikali. Kwani yeye yuko serikali gani? na hiyo polisi ni Serikali ipi? wacheni hizo. Kama anamshutumu mtu hapo tutakubaliana au mtu mmoja au wawili wakishutumiwa ndio wameshakuwa Serikali? Serikali kwa nguvu ilizokuwa nazo ikitaka kumuuwa hatopata nafasi hata ya kusema kwiii. Umelala doro.
 
Kuelekea mbio za uraisi 2015 naona magamba wanawamaliza wale wote wenye kutishia kupita kwa 'yule wamtakae'
1. Walianza na Lowassa, saiv tunamuona kila siku Nigeria anaombewa (watu wake wa karibu wanasema hali yake si nzuri)
2. Wakaja kwa Mwandosya (Watu wake wa karibu wanasema nae hali yake si nzuri)
3. Wamekuja kwa Mwakyembe

Next? Sumaye? Magufuli?....

watanzania tuendelee kusinzia lakini tukumbuke mwisho wa siku ina kula kwetu kwa kutuchagulia wamtakae....
 
huyu mheshimiwa tangu aingie kwenye siasa imekuwa ni kizungumkuti tu - i think it is high time arudi chuoni akaendelee kutufundishia wanasheria wetu sasa

bora umesema. lakini kwa kupenda pesa, hutasikia akienda chuo kufundisha.

uwaziri anautaka, pesa anazitaka, urafiki na mafisadi anautaka, antumia pesa za umma kuwahurumia mafisadi, asijue kuwa beberu/bepari hana rafiki, yeyote kikwazo kwako, yamfaa kifo.
 
Ni wapi alipoishutumu Serikali? wacha kubadili mada na udaku uliouleta. Wewe umesema anaishutumu Serikali. Kwani yeye yuko serikali gani? na hiyo polisi ni Serikali ipi? wacheni hizo. Kama anamshutumu mtu hapo tutakubaliana au mtu mmoja au wawili wakishutumiwa ndio wameshakuwa Serikali? Serikali kwa nguvu ilizokuwa nazo ikitaka kumuuwa hatopata nafasi hata ya kusema kwiii. Umelala doro.

kama mlivyo fanya kwa korimba, kombe, mbatia..kweli ccm ni janga la kitaifa
 
Mwakyembe tumemwajiri sisi watu wa Kyela;na kwa vile hadi sasa hamna taarifa zozote za kiofisi tulizozipata sisi wapiga kura Kyela zinazosema kuwa Mbunge wetu kalishwa sumu basi sisi wananchi wa Kyela tunazichukulia habari hizi kuwa sio rasmi!
 
What exactly are you trying to say?

Ndugu wana JF hizi ni taarifa za uhakika kabisa, Dr. Mwakyembe Kapewa sumu amevimba mwili mzima hali ni mbaya nilipopata habari hizi walikuwa wanafanya mpango kumkimbiza India. Nitarudi nikipata habari kwa undani

Nawakilisha

bado tu hujapata habari kwa undani?! basi huyo aliyekupa tetesi akupe muendelezo wa hizo tetesi zenu!
 
Back
Top Bottom