Mwakyembe mgonjwa afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima. Yadaiwa alitegeshewa sumu

No, no no; wanajamvi there is something more sinister than all the wording in Rejao, Mwita25 and FaisaFox can tell to the third ear listening to the intonnations between their heat-beats humu ...

Lakini, wakati ambapo Wa-Tanzania tunawaombe kupona haraka hawa viongozi wetu kutoka Mkoa wa Mbeya, napenda niwajulishe MA-FISADI hapa nchini na chama kinchowafuga kwamba wao wawaombee mara mia kupona haraka na kurudi nchini bila gogoro lolote la kiafya baada ya hizo sumu kutolewa maana tofauti na hapo ....

... udongo ukigeuka mwekundu Mbeya na kwenu pia iwe hivo hivo!!!!!!!!!!!!!!

Kwa wale waliokwishapitia hizi posti moja baada ya nyingine bila shaka utakubaliana na mimi kwamba mwenye sumu yake huyo amekuwa kwenye kivuli cha Dr Mwakyembe kwa muda mrefu na pale kulipoonekana hiyo THEORY ya 'Kutofautiana Maoni' (Mwiita25 et al, 2011 ambaye ni "Mkuria" mwenye "shangazi" yake Mbeya kama ambavyo alivyowahi kusema kiajali humu) kwa Mheshimiwa na bosi wake basi ndipo pakaonekana kuwa ni kipenyo cha kufanyia maovu yote hayo ili lawama zikamuangukie Maghufuli na wala si wale ambao historia inawafahamu fika. !
nayo ilikuwa kali......hili tukio linaweza kuwa limepangwa kwa mtindo huo ?
 
Ngoma ina dawa kwani? Si alikuwa anapenda kavu atulie sasa asikilizie utamu..yule mtoto wake mvulana Brian anayepakaza upupu watoto wa majirani sijui afya yake ikoje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
the centre cannot hold....things falls apart......hii inchi soon italipuka.....

mungu atulinde.....


It seems the center has never held.........until 2025? May be.

But again it is the same YOU who has been telling us that afadhali ya Mkwere kuliko ngosha.

Ushauri wangu....Hawa watu in watoto WA baba mmoja. Tuwe na akiba ya maneno before we condemn or otherwise.
 
Back
Top Bottom