Mpira wa kona
JF-Expert Member
- Nov 25, 2016
- 350
- 338
Nimeshangazwa Na kauli ya Waziri wa Sheria Na Katiba Bw.Mwakyembe akidai eti mchakato wa Katiba umesimama ili kupisha ujenzi wa uchumi wa nchi.Nashindwa kumwelewa Mh.Waziri je uchumi wa Tanzania utakamilika lini ili mchakato wa katiba uanze? Mbona Serikali ya Mh.Kikwete iliweza kuanzisha mchakato Na hatimae kuunda Binge la Katiba Kwa uchumi huu huu inaojenga Serikali ya Awamu ya Tano? Ni vema ukatoa sababu nyingine Uchumi wa Tanzania sio rahisi kujengeka imeshindikana Kwa miaka 55 ndi iwezekane Kwa miaka 5? Watanzania tunaomba katiba mpya.