Mwakyembe, mchakato wa katiba wakati wa Kikwete uchumi ulikuaje?

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
350
338
Nimeshangazwa Na kauli ya Waziri wa Sheria Na Katiba Bw.Mwakyembe akidai eti mchakato wa Katiba umesimama ili kupisha ujenzi wa uchumi wa nchi.Nashindwa kumwelewa Mh.Waziri je uchumi wa Tanzania utakamilika lini ili mchakato wa katiba uanze? Mbona Serikali ya Mh.Kikwete iliweza kuanzisha mchakato Na hatimae kuunda Binge la Katiba Kwa uchumi huu huu inaojenga Serikali ya Awamu ya Tano? Ni vema ukatoa sababu nyingine Uchumi wa Tanzania sio rahisi kujengeka imeshindikana Kwa miaka 55 ndi iwezekane Kwa miaka 5? Watanzania tunaomba katiba mpya.
 
MAWAZIR WETU WANAKOSA KUJIAMINI, WANAOGOPA KUWA NA MSIMAMO HUWENDA WAKAMKOSEA 'MUNGU' NA WAKAUKOSA ULAJI IMEBAKI BORA LIENDE. WALA USILISHANGAE JIBU LAKE YUPO SAWA KABISA.
 
Nimesikitishwa Sana na kauli hii ya mwalimu wangu mwakiembe.
Naanza kuwa na mashaka Yale yote aliyokuwa akinifundisha pale chuo kikuu.
 
Huu ni ukichaa wa hali ya juu. Hakuna uhusiano wowote wa kujenga uchumi wa nchi na mchakato wa katiba mpya. Wanatafuta visingizio visivyo na kichwa wala miguu ili kuukwepa mchakato wa katiba mpya kwa kujua fika katiba mpya ni kiama chao.

Nimeshangazwa Na kauli ya Waziri wa Sheria Na Katiba Bw.Mwakyembe akidai eti mchakato wa Katiba umesimama ili kupisha ujenzi wa uchumi wa nchi.Nashindwa kumwelewa Mh.Waziri je uchumi wa Tanzania utakamilika lini ili mchakato wa katiba uanze? Mbona Serikali ya Mh.Kikwete iliweza kuanzisha mchakato Na hatimae kuunda Binge la Katiba Kwa uchumi huu huu inaojenga Serikali ya Awamu ya Tano? Ni vema ukatoa sababu nyingine Uchumi wa Tanzania sio rahisi kujengeka imeshindikana Kwa miaka 55 ndi iwezekane Kwa miaka 5? Watanzania tunaomba katiba mpya.
 
Achana na Katiba mpya. Kwanza tujadili uwezo wake kuongoza wizara hii. Ni kama haupo. Wizara imejaa rushwa hasa ya mahakimu na Mwakiyembe yupo! Amebaki kupayuka matamko yasiyo na mashiko ikiwemo Katiba mpya huko haki zinaminywa mahakamani! Itafika wakati tutambwagia hadharani majina ya mahakimu wake wala rushwa katika mahakama za mikoa. Ni ovyoo kabisa.
 
Back
Top Bottom