Mwakyembe: Mahakama ya mafisadi kukosa kesi ni mafanikio makubwa

Waziri wa katiba na sheria Harrison Mwakyembe amedai kukosekana kwa kesi kwenye mahakama ya mafisadi walioianzisha ni mafanikio makubwa kwa kuwa watu hivi sasa wameogopa kuiba

Mpaka sasa tangia mahaka hiyo ianzishwe mwezi Julai imepata kesi moja inayohusu uvuvi kwa kutumia nyavu harama

Kwa utafiti upi, anasema kama vile waliomzunguka ni lumpen; huyu PhD holder ni wa mashaka. Msomi kama yeye tunategemea reasoned arguments with evidence, tena being a lawyer!
 
Waziri wa katiba na sheria Harrison Mwakyembe amedai kukosekana kwa kesi kwenye mahakama ya mafisadi walioianzisha ni mafanikio makubwa kwa kuwa watu hivi sasa wameogopa kuiba

Mpaka sasa tangia mahaka hiyo ianzishwe mwezi Julai imepata kesi moja inayohusu uvuvi kwa kutumia nyavu harama

Mkuu naomba unisaidie kuniulizia kwa Waziri Dkt. Mwakyembe je hizo Mahakama za Mafisadi zilizoanzishwa zinaanza na Ufisadi ulionzia baada ya October 25 mwaka jana hadi leo hii au zilitakiwa zianze na Ufisadi wa kutoka tarehe ambayo Tanzania ilipata Uhuru wake hadi kabla ya October 25 mwaka jana? Akikujibu naomba unijulishe tafadhali na natanguliza shukurani zangu kwako.
 
Mafisadi wapo na ufisadi upo sana. Mahakama ilianzishwa kisiasa kama hakuna kesi. Waendesha mashitaka wamezidiwa ujanja. Aidha waiache huru Jamii forum iwaibulie ufisadi mpya wapate kesi.
 
PhotoGrid_1482215990178.png
PhotoGrid_1482215990178.png
 
Kwahiyo waliopiga mabilioni kabla ya awamu hii ndio wamepeta hivyo? Nilijua wanaanza na hao kumbeee.....Hii nchi kweli ni ya mfano kabisa duniani.
 
Back
Top Bottom