Mwakyembe, Magufuli, Muhongo walipuliwa bungeni - Kufanya siasa za Vyombo vya Habari

Na anaibeba kweli,afu utasikia sijiudhuru ng'o.inapokuwa imekosea kwenye wizara zao

Mbona disco joker na padri hawajiuzulu au hujui makosa yao?
Ama ndio wewe una mahaba nao?
Kwan kila anaekosea anafaa kuadhibiwa?
Napata mashaka na uwezo wako wa kufikiria wewe!
 
Malafyale wivu tu wenzio unawasumbua. Endapo Wanakyela wasimpitisha Mwakyembe watakua na tatizo ndani ya vichwa vyao hivi kuna nani pale? Wivu ni ugonjwa jamani hasa unapomuonea wivu mwanaume mwenzio ujue unakua ktk hali ya kutamani kuolewa olewa! Kuwa mkweli sio unaongea mambo ya kibuegebuege.
 
NI mabomu haswa hamna kitu hadithi hadithi bandari ndio hiyo watoto wa waflme wamepewa mapande ya gati,hakuna ndege,meli mbovu barabara na madaraja yanabomoka mbele ya mwakyembe umeme zero hwana lolote mabomu tuu
 
Malafyale wivu tu wenzio unawasumbua. Endapo Wanakyela wasimpitisha Mwakyembe watakua na tatizo ndani ya vichwa vyao hivi kuna nani pale? Wivu ni ugonjwa jamani hasa unapomuonea wivu mwanaume mwenzio ujue unakua ktk hali ya kutamani kuolewa olewa! Kuwa mkweli sio unaongea mambo ya kibuegebuege.

Mwakyembe kyela ni very unpopular ajihesabie tu siku na yeye anayajua haya
 
Unafiki ni mzigo mkubwa sana ambao haubebeki hata kwa winchi. Topic ingekua yakumsifia Mwakwembe na Magufuli hawa hawa wangekuja na point kibao mpaka povu..

Tusimamie ukweli siku zote tuache kua wanafiki.
 
Hao mawaziri ni matapeli wa kisiasa wanacheza na akili za wananchi treni ya mwakyembe ina miezi miwili haifanyi kazi hapa Dar hakuna fedha za disel ha ha vituko
 
Hao mawaziri ni matapeli wa kisiasa wanacheza na akili za wananchi treni ya mwakyembe ina miezi miwili haifanyi kazi hapa Dar hakuna fedha za disel ha ha vituko

acha kuvutia bangi chooni unadhani unajificha kumbe unachanganya na harufu ya mavi unakuja kuongea ujinga hapa.
mimi jana nimepanda hiyo treni sasa sijui unasemea treni gani? au ya nyumban kwa mwakyembe?
 
ha ha treni kaputi unatetea ujinga unazo kweli au nawe tapeli la kisiasa kama mwakyembe
 
Wewe Boya..
Mgao wa Umeme unawahusu sana tu!!

Wanaotakiwa kulalamikia mgao wa umeme ni wale wanaolipa bili hao wazanzibar kaulizie TANESCO wakuambie kama ni walipaji au wapenda dezo.Hili nalo la umeme nalo si jambo la muungano ni jambo la biashara ambapo mfanyabiashara (TANESCO) aweza amua awauzie umeme au awakatie au awape kwa mgao.

Wakiendelea kuleta za kuleta tutamwambia Mkurugenzi wa Tanesco azime switch ya waya unaopeleka umeme Zanzibar hadi kero za muungano zikiwemo za ulipaji bili na za muundo wa muungano zijadiliwe ziishe ndipo tumwambie awashe switch.
 
yaan hata huyo mbunge humjui ila unawajua aliowataja? ok kilichomfanya achanganye mada ni nini kuwataja hawa dhidi ya waliotajwa kua ni mizigo? alafu koma kabisa kumuweka muhongo kapu moja na kina mwakyembe na magufuli........unatia shaka na credibility yako!!!

Kweli aisee Muhingo anafaa kapu lake peke yake maana anadharau, kujiona na malingo utendaji hamna bora kina mwakyembe tunaona train na magufuli tunaona vibarabara, akome kabisa kama ulivyomwambia.
 
Back
Top Bottom