Mwakyembe kukaa karibu na Sitta bungeni kunaashiria nini?

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,039
2,199
Nashuhudia mh dr H.mwakyembe akiwa karibu kabisa na speaker mstaafu Sitta kwenye kikao cha kupitisha jina la PM.wanaonekana kuteta kwa furaha.je hii inamaanisha sitta amejiunga na kambi ya mwakyembe.mimi siju tutulie tuone.
 
Always watu wenye kufanana mitazamo lazima mtakuwa marafiki tuu ingawa watu wanasema sometimes kunakuwa na mvuto wa asili.
Ukizingatia wote ni wanasheria
 
Naona sitta alienda kuongea na jaj werema.possibly anampa tafu jinsi ya kutegua mtego wa Tundu lissu.
 
Nashuhudia mh dr H.mwakyembe akiwa karibu kabisa na speaker mstaafu Sitta kwenye kikao cha kupitisha jina la PM.wanaonekana kuteta kwa furaha.je hii inamaanisha sitta amejiunga na kambi ya mwakyembe.mimi siju tutulie tuone.

haa!! kumbe wamewahi kuwa kambi tofauti eee!!
 
Majeruhi hawa!! Wana recall jinsi hela za mafisadi zilivyomwagwa kwa wingi katika majimbo yao ili washindwe!!
 
Siku zote za bunge la miaka 5 iliyopita Six alikuwa kambi ya wapinga ufisadi (plus J. Malechela, Prof. Marc Mwandosya, n.k.) na ndiyo sababu ya mafisadi kuwa tayari kulamba upanga wa moto kama Six angepita tena kuwa Speaker. Na jawabu ilikuwa kuhakikisha jina lake linaishia huko huko CC ya CCM. So, wame-succeed by 100%+
 
Sitta na Mwakyembe ni syndicate moja tu. Ni wapiganaji ndani ya thithiem wanaouma na kupuliza ili kulinda ulaji.
 
Sitta ,Mwakyembe ssm wanawachukia lakini wako juu sana kwenye macho ya watanzania. Leo hii sheria ingeruhusu mgombea binafsi sitta akasimama Kikwete asingefikisha 10% ya kura . Lakini zuia mawimbi ya bahari siyo mabadiliko ya fikra za binadamu. Muulize lau Masha
 
Nani kamfuata mwenzake? Kwa maoni yangu sita kamfuata mwakyembe, maana bunge lililopita sita alikuwa high table!!!!
 
Si hivyo tu. Hata mama Anne Kilango yuko mbele yao. Si unaona shukurani kwa spika wa zamani Kilango ilibidi amshike mkono tena huku amekaa. Ni ujirani wa Sitta, Mwakyembe, Kilango.
 
hawa watu me naona hawafanani na chama chao bora waje wasepe tu waende kunako wafaa
 
Sitta ,Mwakyembe ssm wanawachukia lakini wako juu sana kwenye macho ya watanzania. Leo hii sheria ingeruhusu mgombea binafsi sitta akasimama Kikwete asingefikisha 10% ya kura . Lakini zuia mawimbi ya bahari siyo mabadiliko ya fikra za binadamu. Muulize lau Masha

Una uhakika alifikisha asilimia 10% 'beyond reasonable doubt' ????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom