Nashuhudia mh dr H.mwakyembe akiwa karibu kabisa na speaker mstaafu Sitta kwenye kikao cha kupitisha jina la PM.wanaonekana kuteta kwa furaha.je hii inamaanisha sitta amejiunga na kambi ya mwakyembe.mimi siju tutulie tuone.
Sitta na Mwakyembe ni syndicate moja tu. Ni wapiganaji ndani ya thithiem wanaouma na kupuliza ili kulinda ulaji.
Naona sitta alienda kuongea na jaj werema.possibly anampa tafu jinsi ya kutegua mtego wa Tundu lissu.
hawa watu me naona hawafanani na chama chao bora waje wasepe tu waende kunako wafaa
Sitta ,Mwakyembe ssm wanawachukia lakini wako juu sana kwenye macho ya watanzania. Leo hii sheria ingeruhusu mgombea binafsi sitta akasimama Kikwete asingefikisha 10% ya kura . Lakini zuia mawimbi ya bahari siyo mabadiliko ya fikra za binadamu. Muulize lau Masha