Mwakyembe ka mfuasi wa "KIBWETERE" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwakyembe ka mfuasi wa "KIBWETERE"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by William Mshumbusi, Mar 31, 2012.

 1. William Mshumbusi

  William Mshumbusi JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 874
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mtu kama Stivin Biko, Chak ovala, Martin Rutha Kingi, Nyerere, Chacha Wangwe, Prf Chachage, Karume, Nkuruma na Haire Selase. Hao ni baadhi ya Wanaharakati walioondoka au kuondolewa duniani gafla. Hawakupata muda wa kutoa neno la mwisho ambalo labda lingebaki, likaishi lingeokoa wengi. Na walitamani sana wafe ila mawazoyao yaishi milele.

  "YAPO NA MENGINE MENGI TUMEYAACHA KWAAJILI KWAAJILI YA KUISTAI SELIKALI" Hii ni kauli aliyoitoa Mwakyembe bungeni baada ya kutaka kuonekana "Richmond sababu ni uwaziri mkuu".
  Mungu bado amekuachia kauli zungumza. Sema yote na mungu atakurehemu utapona haraka. Kuwa mwongo si kudanganya tu BALI ATA KUUFICHA UKWELI UNAOUJUA. Ulipofika wanahabari walifika kwa wingi ili kujua maendeleo ya Afya yako na nini unachoamini wewe mwenyewe juu ya Afya yako.

  Walichoambulia ni tofauti kabisa. Ulijikakamua na kuonesha uko fiti kabisa. Najua lengo ni kututoa wasiwasi sisi tunaofatilia maendeleo yako. Je unaamini nini kuhusu afya yako?
  Ni uchafu gani mliuficha kwa manufaa ya selikali na si wananchi?
  Je kukaa kimya ndio tiba yako??

  Au unaogopa kustakiwa kama alivyotishiwa Sitta?
  WATU WANAUGUA MAFUA WANAENDA KUTIBIWA ULAYA NA WANARUDI WANASEMA "NIPO FITI TAYARI KWA MAPAMBANO" kwanini wewe uwe bubu?
  Na kama ugonjwawako ni hujuma hawatakusamehe wanavisasi hao.
  Kama mimi bora sasa kufa mwili ila jina likabaki sababu naamini kunamaisha zaidi ya haya baada ya kifo kwani kinachofata sasa litakufa jina na mwili utabaki.

  UNANIKUMBUSHA WAFUASI WA KIBWETERE WALIJUA SIKU YA KIFO CHAO ILA HAWAKUAGA MTU WALIFUNGIWA "KANISANI' wakachomwa moto na walikufa bila ata kupiga kelele. ILA NAKUOMBEA KWA MUNGU aimarishe afya yako si ya mwili pekee bali roho na akili. Akujalie hekima. Akupe ujasiri na umtegemee yeye pekee.

  Amina
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Nimesoma sana habari za wanamapinduzi katika dunia hii ila sijakutana na jina Chak Ovala. Ni nani huyu mkuu ili nifuatilie kujua habari zake kwa kuwa huwa sipendi kupitwa na habari za wanamapinduzi wa aina ya uliowataja.
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mwakyembe ni MNAFIKI namba moja duniani. Go to hell Mwaky....
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ni vema kama ungemsaidia kuliandika hilo jina la mwanamapinduzi wa Cuba kuliko kujifanya nawe haumfahamu!
   
 5. j

  jjjj Senior Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bandugu hapo tu hakusema yote amefikishwa ktk hali hiyo.je angesema yote angeendelea kuwa hai hata muda huu?kwani kuna watu ambao wamegeuka Miungu wenye uwezo wa kutoa Roho za watu hapa Duniani.Ila kila kitu kuna gharama yake
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mkuu huwezi kuwa unafahamu kila kitu dunia hii ni kubwa mno! Kwa hiyo una maana alimaanisha Che Guevara. Na kama ni Che siyo wa Cuba mkuu japo alishiriki mapinduzi ya Cuba
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ni Che Guevara exactly mkuu. JF ni darasa pia.
   
 8. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,175
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Unafaa kuwa mwalimu wa pale Muhimbili kwani ungewapata wengi wa kurudia Mwaka, mwanafunzi akikosea kumalizia jina la mdudu na spell ya S tu tayari huyo kakosa swali
   
 9. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Mkuu shule zetu za kata zinakabiliwa na uhaba wa vitabu na hiyo ufundishaji unategemea sana nukuu(notes) za walimu ambazo nazo zimejaa makosa kibao ya maandishi na taarifa. wape mchango huu;


  Che Guevara
  Born in Argentina and trained as a physician, Che Guevara became a military commander for Fidel Castro from 1956 to 1959, during the Cuban revolution. Guevara opposed United States intervention in Latin American affairs and believed that only violent revolution could remedy the poverty of the masses. Guevara wrote two books about guerrilla warfare and led guerrilla forces in South American countries. He was captured and killed in 1967 while leading a guerrilla band trying to overthrow the Bolivian government.
  Archive Photos
  Microsoft ® Encarta ® 2007. © 1993-2006 Microsoft Corporation. All rights reserved.
   
 10. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  safi sana mkuu ila nagalia majina ya watu usiyaharibu
   
 11. J

  Juma Hamis Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwakyembe,hawezi pote kwenye fikra na historia ya nchi hii mpaka vizazi kumi vijavyo,kwani leo ni nyumba ipi ya mtanzania watoto wadogo hawaongelei ufisadi,amini nakuambia hata watoto waliomo matumboni mwa mama zao wajiua kazi waliyonayo ya kupambana na adui ufisadi.

  hata kwa hili huwezi kuyaona na kuyasikia na kujua kwamba mwakyembe ataishi milele kwenye fikra za Watanzania!
   
 12. J

  Juma Hamis Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo hujui unachokisifia kama ungetumia akili kufikri usingesifia haya,kwa kuwa unafkri kama wabuge wa dar basi si na tatizo na wewe lakini nakuomba utumie akili kufikilia na si makalio
   
 13. E

  ENKOKOROMI Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  The disasters of this world are not only caused by the bad words and bad actions of the bad people but also by the great silence of the good people!
   
 14. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Nawashangaa sana mnaojisumbua na hawa walozi, huyu Mwakyembe na Lowasa hawaishi kwenda Nigeria kwa mjinga mmoja anaitwa Nabii Joshua kwenda kupiga ramli, hana msaada wowote ule.
   
 15. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Bado naamini kuwa Mwakyembe ni mnafiki
   
 16. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa naona ugonjwa umemharibu mpaka ubongo. Hivi wana bodi mtu ambaye amepata tatizo la akili na alikuwa DR kabla ya ugonjwa kuna haja ya kulitumia jina hilo kwasababu akili ndio zilimfanya aitwe hivyo naomba ufafanuzi
   
 17. k

  kajembe JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Mfuasi wa EL!
   
 18. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hapana. ni victim of circumstances.
   
 19. William Mshumbusi

  William Mshumbusi JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 874
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mi naona mwakyembe ata afanyenini kwa sasa. Kama asiposema aliyoyaficha ili kuilinda selikalg amewakosea waliompa taarifa na watanzania kwa ujumla na hafai kuwa kiongozi
   
 20. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hujasomeka
   
Loading...