Mwakyembe: Joshua Nassari akamatwa akiwa anataka kuingia bungeni na Chupa ya kilevi akiwa amelewa

Wewe mwongo... ukishaandika, maudhu ya andiko lako yako kwa wasomaji... Hiyo ni document... Ndo maana unaweza kupewa kureview kazi yako na ukawa graded 5/100 au hata zero kabisa. Mwakyembe alikana andiko lake kwa msukumo wa tumbo... Akifukuzwa leo huyu uwaziri akili zake zitarudi, atakuwa kama Nape. Na hiyo Tasnifu yake ataikumbuka ilihusu nini.
Ukweli huwa unajitetea kama unavyojionesha kwenye hayo maandishi meusi. Kwani kila anayesoma unaona ulivyolengakuchafua haiba ya Mwakyembe. Kwa hayo machache ni seme muuongo ni wewe na ulichoandika ni kielellezo cha kuthibitisha uongo wako.
 
Jitahidi kuongea facts , siyo opinions zako!
Fact: Nasari alikamatwa na chua ya konyagi
Fact: Nasari mtoto wa mchungaji
Pinga au thibitisha hilo.
FULL STOP!

Inadaiwa Nasari alianza kuonja pombe juzijuzi alipokuwa Uingereza huko kujifua kimasomo na ikamnogea.

Mara nyingi tabia hii hujengwa na vijana wa aina ya Nasari ambao hutokea kwenye familia zenye misimamo ya kidini au misingi imara khasa kama baba ni mchungaji.

Matokeo ya tabia hii (ya kuonja pombe kama hukuwahi kunywa) ni kuja siku moja kufanya jambo la ajabu ambalo litaleta aibu na fedheha si tu kwa familia bali hata kazini na leo tumeshuhudia hili la Nasari.

Ila kazi walompa (Lowasa Camp) ni ngumu sana, roho yake ilikuwa inasita ila msukumo ni mkubwa, ndiyo maana akaamua kujikaza kiume lakini kwa kupata kony'agi ili kuondoa nishai.

Tatizo la wabunge wetu wa sasa ni kwamba hawaaminiki si wale watu wazima wala wadogo.

Sasa Kitwanga aliingia bungeni akiwa amelewa na leo, huyu dogo Nasari anaingia na chupa ya kony'agi.

Hivi ni vilelezo tosha kwamba maadili yameshuka Tanzania tena kwa kasi ya hali ya juu na ni kila sehemu bila kujali kwamba ni bungeni au uraiani.
 
a disease called poloniumisis is an extremely lethal one.
it tends to attack the medulla oblongata!
 
Gullam Bhai aliyeibua hoja ni Nassari, kuwa Lowasa Alionewa, basi alete ushahidi na suala la Richmond lifuatiliwe kwa umakini na asiye na dhambi asafishwe na alipwe fidia ya kuharibiwa Jina.

Mwakembe amezungumza kwa kujiamini, NA vyama vya upinzani viliunga mkono ripoti ya mkwembe NA kwa kujiamini waliiweka kwenye tovuti Yao NA kumtaja Lowasa kama Fisadi No 1. Sasa kipi kilichobadilika, yaani imewachukua miaka 7 kujua alionewa???
Kuwa na akili wewe,Lowasa kila siku anawanyima usingizi kama muhusika wa Richmond ni Lowasa kwa nini serikali tena na Mwakyembe kama mwanasheria asiishauri serikali imtie pingu ashitakiwe yanabakia maneno ya jikoni tu na kwenye vijiwe vya kahawa
 
Dam55: Kumbe unaongea kitu usichokijua. Kweli CCM inapendwa na mbumbumbu. Ungekuwa na akili ungekumbuka kwamba pale bungeni Lowassa alihoji kwa nini tume haikumhoji? Aliuliza tena, kwamba Mwakyembe ni mwanasheria anayejua haki ya mtuhumiwa kusikilizwa. Hakupata majibu.
Kwani tume ndiyo iliyomhukumu? Kama alikuwa na majibu tofauti na yale yaliyoletwa na tume bungeni, kwanini hakuyasema pale bungeni na badala yake akajiwahisha kujiuzulu? Kwa taarifa yenu, Lowassa aliipata ripoti yote kabla haijasomwa bungeni na kamati, na alifanya kila jitihada kuzuia isijadiliwe lakini akakwama.
 
Inadaiwa Nasari alianza kuonja pombe juzijuzi alipokuwa Uingereza huko kujifua kimasomo na ikamnogea.

Mara nyingi tabia hii hujengwa na vijana wa aina ya Nasari ambao hutokea kwenye familia zenye misimamo ya kidini au misingi imara khasa kama baba ni mchungaji.

Matokeo ya tabia hii (ya kuonja pombe kama hukuwahi kunywa) ni kuja siku moja kufanya jambo la ajabu ambalo litaleta aibu na fedheha si tu kwa familia bali hata kazini na leo tumeshuhudia hili la Nasari.

Ila kazi walompa (Lowasa Camp) ni ngumu sana, roho yake ilikuwa inasita ila msukumo ni mkubwa, ndiyo maana akaamua kujikaza kiume lakini kwa kupata kony'agi ili kuondoa nishai.

Tatizo la wabunge etu wa sasa ni kwamba hawaaminiki si wale watu wazima wala wadogo.

Sasa Kitwanga alingia bungeni akiwa amelewa na sasa huyu dogo Nasari anaingia na chupa ya kony'agi.

Hi ni dalili kwamba maadili yameshuka Tanzania tena kwa kasi ya hali ya juu na ni kila sehemu bila kujali kwamba ni bungeni au uraiani.
Na ni aibu kubwa si kwa Nasari tu, bali hata kwa waliomtuma.
Kwani kwa kauli za Mwakyembe,Nasari kukamatwa na Konyagi na vijana wa Usalama akiingia bungeni na huku amelewa, hiyo kumbukumbu imeshaigia kwenye hansard itakayosomwa vizazi na vizazi.
 
As far as I know Nasari hua hanywi POMBE, sijui kama ameanza juzi juzi otherwise inanifanya nianze kufikiria zaidi kuhusu Richmond.
Kwanini usimwamini una maana muda wote upo naye au aseme nani alimtuma na kwa nini hakuomba muongozo ili kukanusha maana muongozo aliomba mnyika akanyimwa
 
Inadaiwa Nasari alianza kuonja pombe juzijuzi alipokuwa Uingereza huko kujifua kimasomo na ikamnogea.

Mara nyingi tabia hii hujengwa na vijana wa aina ya Nasari ambao hutokea kwenye familia zenye misimamo ya kidini au misingi imara khasa kama baba ni mchungaji.

Matokeo ya tabia hii (ya kuonja pombe kama hukuwahi kunywa) ni kuja siku moja kufanya jambo la ajabu ambalo litaleta aibu na fedheha si tu kwa familia bali hata kazini na leo tumeshuhudia hili la Nasari.

Ila kazi walompa (Lowasa Camp) ni ngumu sana, roho yake ilikuwa inasita ila msukumo ni mkubwa, ndiyo maana akaamua kujikaza kiume lakini kwa kupata kony'agi ili kuondoa nishai.

Tatizo la wabunge wetu wa sasa ni kwamba hawaaminiki si wale watu wazima wala wadogo.

Sasa Kitwanga aliingia bungeni akiwa amelewa na leo, huyu dogo Nasari anaingia na chupa ya kony'agi.

Hivi ni vilelezo tosha kwamba maadili yameshuka Tanzania tena kwa kasi ya hali ya juu na ni kila sehemu bila kujali kwamba ni bungeni au uraiani.
Ulimuona
 
Swala la ulevi kwa wabunge wetu limekuwa tatizo sugu. Hii ni aibu kwa Taifa kuwa na wabunge wasiotambua wajibu wao kwa wananchi. Kuingia Bungeni akiwa amelewa muda wa kazi ni dharau kwa wana arumeru mashariki ambao wamemwamini na kumpa jukumu la kuwawakilisha bungeni. Sioni kama ni sahihi kwa wabunge wa aina hii , wasioheshimu wajibu wao kurudi tena bungeni bunge lijalo.

Mh. Spika tunakuomba uwe unaweka waangalizi kwa wabunge kabla ya kuingia bungeni, ili kuepusha aibu kama hii, na kuligeuza bunge letu kijiwe cha wahuni.
Hapa ndio utakubaliana na ushauri wa Makonda kwa spika
 
Leo Bungeni Dodoma, Joshua Nasari(Mb) Arumeru Mashariki amekamatwa na Watu wa Usalama akiwa amelewa huku akiwa na chupa akitaka kuingia nayo Bungeni.

Mb Joshua alipoanza kuchangia alisema kuwa kamati iliyoundwa na Bunge wakati ule wa Rais Kikwete, kumchunguza Waziri Mkuu wa wakati huo Edward Lowassa juu ya tuhuma za Richmond haikutenda haki kabisa.

Akijibu tuhuma hizo kwa kujiamini kabisa, Mh. Harrison Mwakyembe alisema yafuatayo:

"Kwanza niwashukuru vijana wa Usalama kwa kutekeleza majukumu yao hasa ya kumshika Mh. Nasari na chupa hiyo ya kilevi, maana angeweza kutapikia bendera ya Taifa hivyo kulidhalilisha Bunge lote kwa ujumla...

Kuhusu Edward Lowassa na tuhuma hiyo ya Richmond hawezi kusafishika kamwe kwa hali yoyote ile...Tumeshawachoka sana na hatuwezi kuwavumilia tena....

Kamati yangu iliwahoji zaidi ya mashahidi 75,huku kabla ya kuhojiwa kwake na kamati hiyo Edward Lowassa alikimbilia kujiuzuru ghafla...Sasa bhasi kama kuna mtu yeyote hapa Bungeni anayejiamini alete hoja ya kurudisha tuhuma hizo za Richmond kuhusu Edward Lowassa tuanze kuijadili upya..

Na siku tukianza kuijadili upya tuhuma hizo, ntamwomba Mh. Rais JPM anipumzishe Uwaziri ili nilishughulikie hili suala kikamilifu.

Sasa kama katika hatua ya uchunguzi hakuna ulazima wa kupata taarifa ya upande wa pili, kwa nini yeye sasa kila mara analalama eti kamati ya Nape haikumsikiliza Makonda? Kwani Nape alikuwa na mamlaka ya kutoa maamuzi? Si alikuwa anachunguza tu ili taarifa apeleke kwa Rais ili ndiye afanye maamuzi? Huyu jamaa ana tatizo la kumbukumbu?
 
Jitahidi kuongea facts , siyo opinions zako!
Fact: Nasari alikamatwa na chua ya konyagi
Fact: Nasari mtoto wa mchungaji
Pinga au thibitisha hilo.
FULL STOP!

Nasari hakukamatwa na Chupa ya Konyagi ni maneno ya mkosaji ili tu kuharibu jina la mtu.Pili Msigwa aliliombea taarifa na akaeleza kilichotokea so a fact hakuna chupa ya konyagi na huwezi kuingia ndani ya bunge na hata maji kulingana na sheria za getini.

Issue ya Nasari ni mtoto wa Mchungaji nasikia ni mtoto wa Mchungaji siwezi kuthibitisha au kukanusha.PERIOD
 
Back
Top Bottom