Hapana siyo uzee ni athari za kusoma kwa kukariri badala ya kusoma na kuelewaKabudi anafeli sana sijui uzee
July 11, 2019
Bonn, Germany
Waziri Harrison Mwakyembe mwenye dhamana ya kusimamia habari Tanzania katika mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani DW, ametofautiana na kauli ya waziri wa mambo ya nje ya Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi.
Harrison Mwakyembe amesema hawezi kusema kwa uhakika kilichomtokea mwandishi wa habari aliyetoweka ktk mazingira ya utatanishi na kuongeza aliwasiliana na Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi ili walichukulie kwa uzito suala hilo.
Mh. Harrison Mwakyembe akaongeza kuwa suala hilo kwa vile aliwasiliana na kuliwakilisha kwa vyombo vya usalama, anasubiri ripoti kamili toka vyombo hivyo.
Wakati huohuo wanaharakati wameanza kuichagiza serikali ya Tanzania kutoa ripoti kamili kuhusu yaliyomkuta mwanahabari huyo aliyetoweka baada ya Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Palamagamba Kabudi, kuthibitisha kifo cha mwandishi wa habari huyo Bw. Azory Gwanda.
Kafariki au kauawawa? Maana mke wa marehemu anasema alichukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni wanausalama.Kabudi kazungumza kwa uhalisia wa Jambo air Malaysia iliipotea na watu zaidi ya 270.
ripoti ya mwisho ya serikali ya Malaysia inaamini watu wote waliokuamo katika ndege iyo wamepoteza maisha.
the same to Mr azory, Paramaganba Kama waziri Ana uhakika na serikali inajua Azori hayupo ndani wala nje ya mipaka ya Tanzanania kwa lugha laisi lazima utasema kafariki.
July 11, 2019
Bonn, Germany
Waziri Harrison Mwakyembe mwenye dhamana ya kusimamia habari Tanzania katika mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani DW, ametofautiana na kauli ya waziri wa mambo ya nje ya Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi.
Harrison Mwakyembe amesema hawezi kusema kwa uhakika kilichomtokea mwandishi wa habari aliyetoweka ktk mazingira ya utatanishi na kuongeza aliwasiliana na Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi ili walichukulie kwa uzito suala hilo.
Mh. Harrison Mwakyembe akaongeza kuwa suala hilo kwa vile aliwasiliana na kuliwakilisha kwa vyombo vya usalama, anasubiri ripoti kamili toka vyombo hivyo.
Wakati huohuo wanaharakati wameanza kuichagiza serikali ya Tanzania kutoa ripoti kamili kuhusu yaliyomkuta mwanahabari huyo aliyetoweka baada ya Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Palamagamba Kabudi, kuthibitisha kifo cha mwandishi wa habari huyo Bw. Azory Gwanda.
aliokotwa jalalani ndo manaKabudi anafeli sana sijui uzee
Nae Mwakyembe angehojiwa kwa kiingereza,si ajabu angeenda mule mule kama Kabudi.Kudanganya kwa lugha ya kigeni inaonekana ni vigumu sana,rejea mahojiano ya Mkapa kuhusu mauaji ya Wazanzibari!
!
Kabudi Anafahamu Kilichomtokea Azory. Na Ameshakisema.
Sasa Haya Mengine Ni Kumfurahisha Mkuu Tu Kila Mmoja Anakuja Na Maelezo Yake. Ni Huyu Huyu Mwakyembe Alinukuliwa Akisema Kama Mtu Kaondoka Mwenyewe Wamfanyaje
WengeHawa walimu wa UDSM wana nini?
Elimu ya bure ya nyerere ilizalisha watu wa hovyo sana.Halafu walikuwa darasa moja!
Mtasema tu,, damu inawalilia!!!!
Hawa walimu wa UDSM wana nini?
Unamaanisha walimu wa jalalani?Hawa walimu wa UDSM wana nini?
Mzee wa kukodoa macho katoa boko