Mwakyembe aipasua serikali; Pinda amtaka azungumzie hali yake!

kijijini kwetu wangeshikwa uchawi unautafutia nini ugonjwa wa jirani yako kama hauna mkono wako?
 
Hakuna hospitali ya maana inayoweza kueleza ugonjwa wa mgonjwa wake lakini pia mwandishi akiandika ugonjwa bila idhini sheria itambana na anaweza kulipa fidia kubwa. Ni mwakyembe pekee anaweza kufumbua fumbo la ugonjwa wake hata daktari wake hataweza.
 
Mimi ni mmoja ya watu wanaoshangaa magazeti na watu wanaoushupalia ugonjwa wa mwakyembe, mtu mwenyewe yupo hapa ila anusubiria ugonjwa wake mwenyewe eti wamsemee wengine, hii haiingii akilini hata kidogo. mbona zitto alisema anachoumwa hata kitandani akiwa hajaweza kuinuka? huyu mwakyembe yy anasubiri nn? au anaona raha magazeti yanavyomwandika kila siku? mawaziri wengine wanaboa sana
 
sijui huyo mwandishi keshaondoka!?
Kama bado, chonde chonde: mwenye email/S.L.P ya Apollo Hospital India atuwekee hapa tuokoe hizo pesa za shirika letu la umma
lazima mtu aende physically? email communication haiaminiki siku hizi?
 
sijui huyo mwandishi keshaondoka!?
Kama bado, chonde chonde: mwenye email/S.L.P ya Apollo Hospital India atuwekee hapa tuokoe hizo pesa za shirika letu la umma


Hgoja aya kiongozi email hiyo hapo...........na mimi niwaendee nione watanijibu vipi

[h=2]Request Information[/h]For any information about our locations, doctors or services, please feel free to write to enquiry@apollohospitals.com or fill out this convenient form.

[h=2]Feedback[/h]We'd love to hear from you on how we can improve ourselves to serve you better. Write to us on feedback@apollohospitals.com or fill out this form here.

[h=2]Careers[/h]For information on jobs and openings, visit our Careers section or write to us on hrd@apollohospitals.com

[h=2]Investors[/h]Our Investors section has all the answers to your questions. For more information, please write to investors@apollohospitals.com

Form hiyo hapo chini

Apollo Hospitals is always looking to make things easier for you. Our aim is to provide our customers with the best medical facilities, constant care, and reliable support.
If you would like to get in touch with a doctor from a specific department, would like some specific information about the services we provide, or just have a question for us, send us an email at enquiry@apollohospitals.com and we will get back to you.
[h=2]* Mandatory fields[/h]First Name* : Error message displayed here
Last Name : Error message displayed here
E-mail Address* : Error message displayed here
Address : Error message displayed here
City : Error message displayed here
State : Error message displayed here
Zip code : Error message displayed here
Country : Error message displayed here
Telephone : Error message displayed here
Fax : Error message displayed here
Mobile : Error message displayed here
Preferred Hospital Location : Select Location Ahmedabad Bangalore Chennai Delhi Hyderabad Kolkatta Others
Error message displayed here
Post Your Query* : Error message displayed here

image

Charaza maneno mawili:Charaza unachosikia:Sio sahihi. Jaribu tena.



 
Mwakyembe naye anashangaza sana.Kama hataki watu wajue anachoumwa aweke wazi kuwa hatasema na watu wasifuatilie kuhusu hilo.Historia itamuhukumu kwa unafiki kama hatakuwa makini.

Rai ni gazeti linalomilikiwa na Rostam . Inasadikia kwa tuhuma zao za ufisadi ndio wanaowashughulikia wanaowafuatilia kama Mwakyembe.Iweje leo wapo mstari wa mbele kuelezea/kuchunguza ugonjwa wa Mwakyembe!
 
Mimi ni mmoja ya watu wanaoshangaa magazeti na watu wanaoushupalia ugonjwa wa mwakyembe, mtu mwenyewe yupo hapa ila anusubiria ugonjwa wake mwenyewe eti wamsemee wengine, hii haiingii akilini hata kidogo. mbona zitto alisema anachoumwa hata kitandani akiwa hajaweza kuinuka? huyu mwakyembe yy anasubiri nn? au anaona raha magazeti yanavyomwandika kila siku? mawaziri wengine wanaboa sana

Yaani nlshaacha kufuatilia habari za huyo mgonjwa...
Uh amechosha sasa.
Nadhani anajua anachofanya
 
Siku zote naamini kuwa Pinda alipewa u- PM kwa sababu hakuwa na makandokando,lakini ukweli ni kuwa Pinda si kiongozi mzuri.Wananchi wanalia, walimu wanalia, madaktari wanalia nk halafu anaunga mkono ongezeko la posho kwa wabunge.Huyu si mtoto wa mkulima bali ni mtoto wa posho.
 
Gazeti larai leo limekiri kutumamwandishi wake nguli wahabari kwenda apollo hospital eti kutafuta ukweli kuhusu ugonjwa wa mwakyembe. Katika habari za kurasa za mbele leo wanakiri kuwa watapata ukweli huo, kwa kuwa akina sita ni vinara wa kudai kuwa maisha yao yako hatarini kitu ambacho kimegarimu pesa nying kuwalinda badala ya kuwatumikia wananchi
Hivi bado RAI linamilikiwa na yule jamaa? Basi ameenda kutoa kitu kidogo taarifa zigushiwe ukweli upotezwe maake ana mkono hapo!
 
Sijui kama atarudi.........sisitemu itamfuata hukohuko.........we ngoja muone

Hata mimi nadhani hajipendi.. Anaweza kupata mafua makali yatakayomlazimu kulazwa hapo hapo Apollo... Atarudi baada ya miezi miwili na eidha magongo,au ngozi inayotoa vumbi...
 
kuna haja gani ya kwenda huko kote wakati mwakyembe yupo hapa si aulizwe??
 
Eti ni gazeti la nani vile? Bora angetumwa mwandishi wa habari toka kwenye gazeti la 'Kulikoni', 'Raia Mwema' au 'Mwanahalisi Halisi'. Kwa mtaji wa hili gazeti la Rai Akademia, bure kabisa na wala hamna kitu kwenye hicho kijisafari kwenda hospitali ya Apollo India.

Gazeti larai leo limekiri kutumamwandishi wake nguli wahabari kwenda apollo hospital eti kutafuta ukweli kuhusu ugonjwa wa mwakyembe.

Katika habari za kurasa za mbele leo wanakiri kuwa watapata ukweli huo, kwa kuwa akina sita ni vinara wa kudai kuwa maisha yao yako hatarini kitu ambacho kimegarimu pesa nying kuwalinda badala ya kuwatumikia wananchi
 
Kung'ang'ania kujua ugonjwa wa binadamu mwenzako, kama yeye hataki kusema, ni utovu wa uungwana na kukosa heshima kwa mgonjwa.

Kama kuna ushahidi kwamba kuna vingine zaidi ya ugonjwa wa kawaida tu, kwa kufuatilia ni huko kwenye ushahidi. Hospitali zinakatazwa kutoa siri za wagonjwa, na hata kama ikitokea India hazikatazwi (I highly doubt that since India inherited a lot of English "Common Laws" and customs), waungwana hawalazimishi kujua ugonjwa.

Watoto wa mjini wanasema "maumivu huanza pooolepole" . Hata magazeti ya Rupert Murdoch hayakuanza ku hack simu za watu, yalianza pole pole hivi hivi kutaka kuvunja misingi ya uungwana, mara misingi ya maadili, mara yakavunja sheria na kufanya mambo ya ajabu.

Washaanza kuvunja misingi ya maadili kwa kushikia bango ugonjwa wa mtu, kesho watataka ku hack cellphone (hili Tanzania rahisi sana, unatafuta mtu wa cell phone operators tu) wapate kila kitu, kuanzia text messages mpaka simu zake.

Katika jina la vita dhidi ya ufisadi na usalama wa taifa vyote vyawezekana.
 
Mwakyembe sito sumu tu inayo msumbua hata kurogwa inawezekana!!
Mwakyembe hakuwa mtu wakulikalia kimya lile!! ....na akiendelea kukaa kimya, wanammaliza kabisa hata miezi miwili haiishi!! mie sio mtabiri lkn nikungaunga mambo nalipata hili.
 
Back
Top Bottom