Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,125
inabidi wazazi tuwe makini na majina tunayowapa watoto.
Hii inaweza ikawa na ukweli iwapo Mwakyembe ataendelea kukaidi kutoa report ya uchunguzi wa madaktari wa India. Very bad!kukaa kimya kwa mwakyembe kunaonyesha kwamba madaktari kule India walimwambia chanzo cha ugonjwa wake tofauti na kauli za kulishwa sumu na ndio maana anapata kigugumizi kuwaambia watanzania lakini pia kumuokoa Sitta aliyedai kwamba Mwakyembe kalishwa sumu
Katika mawaziri wakuu wa Tanzania, kila mmoja ukimwuliza atoe deliverables zake wote watakupatia lakini kwa Pinda sijui atajivunia amefanya nini. Ameka kaa kisiasa zaidi..siyo mtendaji!!!Pinda ni jitu la hovyo sana.iam just wondering how he landed to that seat
Masaburi yaliyopinda. Hivi tuna viongozi au mavuta bangi tu?
Nakwambia mi hata simshangai, we angalia tu jina lake. yaani simshangai kabisa. GAMBA!!!
Dr. Mwakyembe anapaswa kulaumiwa kwa unafiki wake! Hilo ni pigo la pili wanamkosakosa! Alipopata pigo la kwanza la ajali, alisema kwamba anamwachia Mungu!!
Safari hii amepata pigo la pili; wamemchua kwa mafuta ya kinyonga! Yote anamwachia Mungu!
Anakaa kimya ili kukinusuru chama chake kinachotaka kumtoa roho! Huyu mtu, si wa kuonea huruma hata kidogo!!
Angekuwa mwanamapinduzi wa kweli angekwishaweka mambo yote hadharani na kisha kuchukua msimamo na uamuzi wa dhati kuhusu hatima ya maisha yake!! Lakini Kwa mtindo huo wa kinafiki, asubiri tu pigo la tatu; hapo ndipo atakapomwachia Mungu yote kikwelikweli!!